What is normal vaginal discharge?..once a discharge its no longer normalNenda hospt watasema kama ni normal vaginal discharge au mabukizi (yeast au fungal).
kama hakuna harufu hiyo ni fungal infection inajulikana zaidi kama candidiasis..tiba yake ni rahisi, awahi tu kumwona daktari atapewa dawa. Aende mapema kabla hajapata secondary bacterial infection ambayo itakuwa mbaya zaidi