Ugonjwa gani huu

Ugonjwa gani huu

Samboko

JF-Expert Member
Joined
Oct 30, 2011
Posts
5,420
Reaction score
7,788
Habari wana jf, mchumba wangu anatokwa na uchafu ukeni mweupe na umeganda kama mtindi lkn hautoi harufu, nimemgundua jana akaniambia hajui ni nini, utakua ni ugonjwa gani na sababu ni nini? na naadhirika vp na hilo maana tunaduu bl kinga ila jana hatukuduu. Naomba msaada wenu madokta na humu jf.
 
Nenda hospt watasema kama ni normal vaginal discharge au mabukizi (yeast au fungal).
 
Badala ya kwenda hospital unakuja kumtangaza mpenz wako huku. Shame on you
 
Msugue vizuri km wiki hivi lengo ni kuhakikisha kuwa hana ge.nye kabisaaaaaaaaa, then msikilizie baada ya km wiki hivi tena, km yanaendelea kutokwa nenda hospital, sasa hv ukienda hospital watakutundika dawa halafu watakwambia ukiona maumivu yanazidi muone daktari................

nasisitiza msugue vizuri.........km vp nenda pale mlimani city kale kitu kinaitwa nguluma upate stimu za hatari, andaa 13000 zitakutosha!!!!
 
kama hakuna harufu hiyo ni fungal infection inajulikana zaidi kama candidiasis..tiba yake ni rahisi, awahi tu kumwona daktari atapewa dawa. Aende mapema kabla hajapata secondary bacterial infection ambayo itakuwa mbaya zaidi
 
Nenda hospt watasema kama ni normal vaginal discharge au mabukizi (yeast au fungal).
What is normal vaginal discharge?..once a discharge its no longer normal
 
kama hakuna harufu hiyo ni fungal infection inajulikana zaidi kama candidiasis..tiba yake ni rahisi, awahi tu kumwona daktari atapewa dawa. Aende mapema kabla hajapata secondary bacterial infection ambayo itakuwa mbaya zaidi

Nashkuru mkuu, nshamwambia awah hosptl.
 
Back
Top Bottom