Samboko
JF-Expert Member
- Oct 30, 2011
- 5,420
- 7,788
Habari wana jf, mchumba wangu anatokwa na uchafu ukeni mweupe na umeganda kama mtindi lkn hautoi harufu, nimemgundua jana akaniambia hajui ni nini, utakua ni ugonjwa gani na sababu ni nini? na naadhirika vp na hilo maana tunaduu bl kinga ila jana hatukuduu. Naomba msaada wenu madokta na humu jf.