Ugonjwa Huu ni kitu gani??????

Chimps

JF-Expert Member
Joined
Nov 8, 2011
Posts
559
Reaction score
356
Jamani, please help,

Ugonjwa huu unashambulia uume wa mwanaume kati ya kichwa cha uume na ngozi inayounganisha makovu ya sehemu iliyotailiwa. Kunakuwa na maumivu na uozo kama mafua. Angalia picha attached,

Hospital wamepima mkoja hauna matatizo yoyoye. Wametoa dawa za kupaka, alerge pamoja na cloxacliine.

Please assist ni ugonjwa gani huu, na unaweza tibiwa kwa dawa zipi
 

Attachments

  • Gozi.jpg
    10.5 KB · Views: 639
kama hosptal wameshindwa...mmmh unalo?
ushalogwa hivo
ndo mambo ya kukwida k za wake za watu
ulokula vitu vyao wamekutumia salamu
baada ya siku saba nasikia kichwa huwa kinakatika....
kaombewe mkuu fasta
 
jaribu hospitali ya maana au waone wataalamu wa STDs
 
1. kichwa cha uume wako kibaya,
2. check na kale kaugonjwa kakubwa
 
Mkuu Chimps, POLE..

1. Ningekushauri kwenda hospitali TENA, inawezekana ulipimwa mkojo(lakini ni mengi yanaweza kutokea kupata False negative results),

2. Lakini inawezekana ni ugobjwa mwingine tofauti na "mkojo kuwa mchafu"(UTI), yaani inawezekana ni magonjwa ya zinaa...If so, ungemuuliza partner(mke /mpenzi) je anaona dalili zozote?..Ni vizuri kwenda wote.

3. Fanya vipimo vingine na kupata ushauri nasaha(because of risk).

4.Ni vyema kutambua dalili(mtiririko wake) kama aina ya harufu, rangi, ..maumivu wakati wa haja ndogo, nk.


USIRIDHIKE, "nilikwenda hospitali" so basi niishie hapo...tafafhali fika hospitali nyingine kwa uchunguzi zaidi.
 
Onyo kwa wenzio, tuambie ulianzaje???? kwa kweli hapa jf hupati dawa nenda hospitali kubwa haraka.
 



Du! jamaa anatisha hivi?? kwa kweli kuna vitu duniani vina sura mbaya.
 
Already TAYARI !!! Ahaaa! Kafanye kipimo kikubwa kaka. Usione haya. Pia TULIZANA ! Acha kabisa kuchovya. Kama ulikuwa unavunja AMRI YA SITA ya Mungu, tubu kwa Mwenyezi Mungu na uhadi kuzishika amri zote kumi na kuziishi. Mungu Atakujalia utapona.
 
Mkuu pole sana nenda hospital tena, usichoke wala kukata tamaa
 
hiyo inaitwa bunyoro.nenda hispital faster halafu ukipona cheza salama usivamie,utaumia zaidi.

pole sana
 
Pole sana mkuu...tafuta wataalamu au mabingwa wakusaidie ingawa ni ngumu kweli kuwapata kama hakuna mshiko.Wengi ni rahisi kuwaona hospitali binafsi
 
kama hosptal wameshindwa...mmmh unalo?
ushalogwa hivo
ndo mambo ya kukwida k za wake za watu
ulokula vitu vyao wamekutumia salamu
baada ya siku saba nasikia kichwa huwa kinakatika....
kaombewe mkuu fasta

teh teh teh...bado kuna watu wanaloga k zao zisiguswe? Anyway, Labda ni ugonjwa tu usiohusiana kabisa na kula cha mtu mwingine....after all sharing is caring! Akhuu!
 
Nafahamu kuna kitu huitwa PPP (Peary penile papules). Hivi huwa ni vipele tu kuzunguka hiyo sehemu uliyotaja. Isipokuwa vyenyewe, haviwashi, havipati uozo, na hatimaye hupotea vyenyewe. Hivi vyenyewe si ugonjwa na havina shida. Ukigoogle waweza pata maelezo ya kulinganisha na hali yako.
 
Mkuu pole sana,rudi hospitali haraka kwa wataalamu!
Best wishes!
 
Pole sana mkuu jaribu kwenda hosptali mbali mbali naamini huko ndio utapata ufumbuzi wa tatizo lako.
 
nenda hospital pole sana, pia mwombe mungu atakuponya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…