Ugonjwa unaodaiwa na Wizara ya Afya, ulioua watu 5, unaweza kuwa ni Ebola?

Ugonjwa unaodaiwa na Wizara ya Afya, ulioua watu 5, unaweza kuwa ni Ebola?

Kuna hawa MAKASUKU WA MTANDAONI wanakwambia hiyo ni Ebola! [emoji2][emoji2]

Wanafurahia sana kuzua taharuki na kuchochea hofu, sijui kwa faida gani haswa!

Unakuta JIMAMA zima kama Retired linabwata na kuzua hofu mitandaoni hawajibiki kwenye familia yake anabwata tu jamiiforums usiku na mchana.

Mtu akitoka damu puani kidogo tu wameshacharuka na kubebelea bango la EBOLA! Mara ooh nchi iwekwe karantini na LOCKDOWN! [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] Aisee!
mama yako muulkize anavyolia na kubwata na baba yako
 
Mpaka Sasa Ugonjwa Umedhibitiwa Ila Bado Serikali Na Wajuzi Wapo Site Wakiendelea Kuchakata Taarifa Kujua Ni Nini?

Tuwe Na Subira Ila Tuchukue Tahadhali Muda Wote
 
Nakubaliana na wewe Mkuu, hii Nchi watu wanapenda kushikiria taharuki badala ya kusubiria uthibitisho.

Kuna Jamaa yangu ni mtumishi hapo kituo cha Afya Maruku, nimeongea nae juzi kupata tathimini. Jamaa anasema wala hakuna dalili zozote za Ebola, watu waliokufa wamekufa kwa scenario tofauti bali mmoja tu ndo amekufa akiwa na Haemophilia (Ugonjwa wa kutokwa damu).

Tuendelee na shughuli zetu, Serikali itakuja na majibu.
I have a relative who is still admited at one the hospitals in Bukoba township na some of the dalili za ebola, why not be on alert! Kwa mtu anayejitambua with those symptoms lazima one has to think wide and take precautions.

Kama mtu ana some of the below symptoms, why not worry? and take precautions? particularly the last one bolded

Primary signs and symptoms of Ebola often include some or several of the following:
  • Fever
  • Aches and pains, such as severe headache and muscle and joint pain
  • Weakness and fatigue
  • Sore throat
  • Loss of appetite
  • Gastrointestinal symptoms including abdominal pain, diarrhea, and vomiting
  • Unexplained hemorrhaging, bleeding or bruising ( my relative had those unexplained bleedings)
 
Kwa linchi letu hili na siasa za umagufuli abazo bado kuna remnants zake(though Samia anajitahdi kuufuta), they will never tell the truth! And most likely ni Ebola by dalili zinazoonekana.
Kweli ungekuwa ni mwanamke, tungedhani Magufuli ulimtaka akakukataa! Hatred yako kwa JPM ni ya kiwango cha juu sana!
 
Mbona watu wa vijijini huko maruku bukoba wanasema hao watu wamekufa kwa vifo tofauti tofauti...

Na hata ya miaka ya 2016/2017 wanasema huo ugonjwa ulikuwwpo lakin ukatoweka ..

Lakin sio Ebola
 
Kweli ungekuwa ni mwanamke, tungedhani Magufuli ulimtaka akakukataa! Hatred yako kwa JPM ni ya kiwango cha juu sana!
Bladifaken you bastard! Umeanza kuonekana baada ya Jiwe lenu kufa. Uliongea sana enzi zle sasa umekufa baada ya Mungu kulifyekelea kwa mbali shetani lililokuwa limekubuhu. Hilo hapo libusu

1679203441940.png
 
Kweli ungekuwa ni mwanamke, tungedhani Magufuli ulimtaka akakukataa! Hatred yako kwa JPM ni ya kiwango cha juu sana!
Blkadifaken bastard boy. Umeanza kujitokeza baada ya shetani wenu mliyemuabudu kufyekelewa mbali na corona. mungu akaamua ugomvi bladifeken yopu!

hilo hapo jiwe nenda kalibusu

1679203918482.png
 
SIRIKALI yetu huwa hawatangazi magonjwa makubwa makubwa hata ZIKA iliondoka na Late Mwelentuli Malecela(M.A.P) alivyoitangaza wakati yupo NIMRI.

Cha msingi ni kuchukua tahadhari zote za huo ugonjwa maana huko ni mpakani mwa Uganda.
 
Imetolewa taarifa na wizara ya Afya na Profesa Tumaini Nagu kuwa huko Bukoba vijijini, katika Kata ya Maruku na Kanyangereko, kumetokea ugonjwa usiojulikana, ambao dalili zake ni kutoka damu mfululizo, kwenye sehemu mbalimbali, ikiwemo puani, hadi Figo zinazshindwa kufanya kazi, uliosababisha raia 5 kupoteza maisha.

Dalili hizo zilizotajwa ni kama dalili za ugonjwa wa Ebola.

Swali ninalojiuliza ni hili, hivi inawezskanaje wizara ya Afya, ituambie ni ugonjwa usiojulikana, ilihali wanajua kuwa ni ugonjwa wa Ebola?

Nchi jirani za Jamhuri ya Congo na Uganda, ulipolipuka ugonjwa huo na kuua watu kadhaa, hawakuficha na kueleza kuwa nchi hizo zimekumbwa na ugonjwa wa Ebola.

Ni sababu zipi zinazosababisha nchi yetu isitaje kuwa ugonjwa huo inaodai ni ugonjwa usiojulikana ni Ebola?

Lazima wizara ya Afya watambue kuwa ugonjwa huo wa Ebola ni ugonjwa hatari Sana unaoweza kuchukua maisha ya watu wengi Sana.

Niwatahadhirishe wizara ya Afya kuwa Kuna msemo wa kiswahili unaosema, MFICHA MARADHI, MWISHO KILIO KITAMWUBUA.

Je, wizara yetu ya Afya, imeamua kuficha ugonjwa huo ulioingia nchini, Ili KILIO KIJE KUTUUMBUA?

Japo sipingani na wenzangu kuwa yaweza kuwa EBOLA au ugonjwa mwingine wenye dalili hizo,
Ifike wakati tuelewe kuwa, Serikali haiendi kwa mihemko eti itamke tu kuwa ni Ebola bila kuwa na 100% proof lakini pia, lots are going on kule ku manage the situation huku sampuli mbali mbali zikisubiriwa zitoe majibu...
 
Mwanamke ni mama yako ujue , kama wanawake ni wa hovyo basi na mama yako ni hovyo! syllogism/logical reasoning dictates that!
Nani kasema hovyo, narudia una mambo ya Kike Kike. Chuki zako kwa JPM hazitakusaidia kitu kamwe, unajiumiza bureee
 
Serikali haipo serious na Maisha ya watu.
Kwa hiyo unataka itamke ni Ebola ndio uone kuwa ipo serious?
Nafikiri unajua kupambana na janga ni vita hasa huku ulimwengu wa tatu ambapo watu hawajaelimika (wapo kishabiki kuliko uhalisia). Mfano utangaze ni Ebola, watu wote waliokuwa karibu wanaweza kutoroka wakihofu kuwekwa quarantine ambapo ni hatari zaidi; lakini wakienda kwa mbinu za kivita, unawatambua wote na hata kama itakuwa ni Ebola inakuwa rahisi kui contain kwa kuwa umeshajua wahusika wote.
 
Imetolewa taarifa na wizara ya Afya na Profesa Tumaini Nagu kuwa huko Bukoba vijijini, katika Kata ya Maruku na Kanyangereko, kumetokea ugonjwa usiojulikana, ambao dalili zake ni kutoka damu mfululizo, kwenye sehemu mbalimbali, ikiwemo puani, hadi Figo zinazshindwa kufanya kazi, uliosababisha raia 5 kupoteza maisha.

Dalili hizo zilizotajwa ni kama dalili za ugonjwa wa Ebola.

Swali ninalojiuliza ni hili, hivi inawezskanaje wizara ya Afya, ituambie ni ugonjwa usiojulikana, ilihali wanajua kuwa ni ugonjwa wa Ebola?

Nchi jirani za Jamhuri ya Congo na Uganda, ulipolipuka ugonjwa huo na kuua watu kadhaa, hawakuficha na kueleza kuwa nchi hizo zimekumbwa na ugonjwa wa Ebola.

Ni sababu zipi zinazosababisha nchi yetu isitaje kuwa ugonjwa huo inaodai ni ugonjwa usiojulikana ni Ebola?

Lazima wizara ya Afya watambue kuwa ugonjwa huo wa Ebola ni ugonjwa hatari Sana unaoweza kuchukua maisha ya watu wengi Sana.

Niwatahadhirishe wizara ya Afya kuwa Kuna msemo wa kiswahili unaosema, MFICHA MARADHI, MWISHO KILIO KITAMWUBUA.

Je, wizara yetu ya Afya, imeamua kuficha ugonjwa huo ulioingia nchini, Ili KILIO KIJE KUTUUMBUA?

Labda wanaogopa mwonekano hasi kwa royal tour
 
Nchi hii tunaishi kwa rehema za Mungu, sidhani kama containment ya ugonjwa huu nchi hii itauweza..

Pia wanaogopa kuleta taharuki kwenye jamii
Nchi ambayo imeweza kuzuia magonjwa kibao pamoja na kuwa kwa jirani ndio useme haiwezi containment?
Kuzuia tunaweza na kudhibiti tunaweza.
Tumeweza mara kibao.
 
I have a relative who is still admited at one the hospitals in Bukoba township na some of the dalili za ebola, why not be on alert! Kwa mtu anayejitambua with those symptoms lazima one has to think wide and take precautions.

Kama mtu ana some of the below symptoms, why not worry? and take precautions? particularly the last one bolded

Primary signs and symptoms of Ebola often include some or several of the following:
  • Fever
  • Aches and pains, such as severe headache and muscle and joint pain
  • Weakness and fatigue
  • Sore throat
  • Loss of appetite
  • Gastrointestinal symptoms including abdominal pain, diarrhea, and vomiting
  • Unexplained hemorrhaging, bleeding or bruising ( my relative had those unexplained bleedings)
I agree with you, but why hastening on spreading the Hoax.

Let's be patient, The GOVT is more Pro-Active and well informed.

The info are coming ASAP.
 
Back
Top Bottom