Ugonjwa unaodaiwa na Wizara ya Afya, ulioua watu 5, unaweza kuwa ni Ebola?

I agree with you, but why hastening on spreading the Hoax.

Let's be patient, The GOVT is more Pro-Active and well informed.

The info are coming ASAP.
hoax
a plan to deceive someone, such as telling the police there is a bomb somewhere when there is not one, or a trick:

Sidhani kama kuna mtu ana nia hiyo! Umekwenda mbali mno kwa kutumia neno hoax! This means deliberately making people panic for no justified cause!

Taking precautions is the best first step to contain the spread of the would-be disease, particularly a highly infectious and fatal disease when the symptoms come close to a deadly disease like Ebola.

All in all, let us hope for friendly news from the authorities .... kama hamtaficha kama Magufuli!
 
We Together Homeboy [emoji1666]
 
Inasemekana kwamba huyo kijana wa kwanza kuugua alitokea Uganda alipokuwa amekwenda kwa shughuli za uvuvi, akapata homa akawahi home kwao(maruku) nadhani mambo ndo yakaanzia hapo,
 
KWANINI HAUJAFA MPAKA SASA WEWE NGUCHIRO USIYE NA FAIDA?

MNAPENDA SANA TAHARUKI NYIE WACHAWI NA VIBARAKA.

KAA NYUMBANI PIKIA MUMEO, USIJIFANYE MJUZI KULIKO SEREKALE.

ATI EBOLA!!! Very stupid indeed!
Mkuu weka namba yako ya simu...
 
mama anaupiga mwingi kazi na iendelee.
 
Inasemekana kwamba huyo kijana wa kwanza kuugua alitokea Uganda alipokuwa amekwenda kwa shughuli za uvuvi, akapata homa akawahi home kwao(maruku) nadhani mambo ndo yakaanzia hapo,
Hiyo ni Ebola bila chenga,sasa serikali inabidi ilock down hilo eneo ,maana ukitapaa ukafika Mwanza.Basi tumekwisha
 
Hiyo ni Ebola bila chenga,sasa serikali inabidi ilock down hilo eneo ,maana ukitapaa ukafika Mwanza.Basi tumekwisha
Ndo kwanza mabasi ya kutokea huko yanajaza na kusafiri kama kawaida
 
Yaani ukitapakaa kote ni kilio ,inabidi wizara ya afya ifanye jambo ili kuucontain.
Shida ni serikali kutotoa tamko, na kingine huu ugonjwa ungeambukiza km covid ingekuwa hatari zaidi, hivyo ni rahisi kuudhibiti
 
Hiyo ni Ebola bila chenga,sasa serikali inabidi ilock down hilo eneo

Nilimpenda MAGUFULI alipowakomesha VISEBUSEBU WA CORONA.

Hakuna cha LOKUDOWN WALA BABAAKE NA LOKUDOWN

MANYUMBU MLIPOTEANA [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji50][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]
 
Yaani ukitapakaa kote ni kilio
Kwenda zako huko. Ati kilio!

Hata kwenye corona mlituambia kutakuwa na maiti zimetapakaa kila mahalii!! Lakini jembe MAGU akawatia pini mkabaki kutapatapa!

Hakuna cha maiti wala nini! MANYUMBU KWIO [emoji12]

[emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]
 
Una nini wewe mpuuzi? Lazima ulitaje jina lake kama mwanamke aliyepewa mimba na mtu akamkimbia! Stop this!
 
Corona si Ebola. Ebola ni hatari zaidi kuliko Corona.
 
Hebu usinichoshe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…