Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
Ugonjwa unaomtesa na kumnyoosha vilivyo Mr X kutoka taasisi fulani ya masuala ya muziki unachagizwa kwa kiasi kikubwa na laana za kuwadhulumu jasho lao wasanii mbalimbali hapa nchini kwa kujifanya Mungu mtu.
Yani atazidi kukongoroka zaidi ya hapo, kwanza alinyanga'nywa demu wake suala ambalo lilimpa pigo takatifu ,pili kilio cha muda mrefu cha wasanii mbalimbali waliokandamizwa na Mr X kwa masilahi yake binafsi kimesikika kwa Mungu sasa Mungu ameamua kumuadhibu Mr X kwa unyama aliokuwa akiufanya kwa watu mbalimbali maana Mr X ni mtu mwenye roho mbaya sana japo ukimuangalia usoni anaonekana mpole mpole.
[emoji23][emoji23][emoji23]Mr X kibao kimemgeukia sasa hivi anapata tabu sana ,sisi wengine tunafurahi vilivyo jinsi anavyoteseka ili liwe funzo kwa wengine.