Ugonjwa unaomsumbua bwana yule unatokana na laana za kula jasho la watu

Mimi huwa sifanyi ngono za kipumbavu,kwanza lazima kupima then hata tukipima ukawa negative bado tutatumia Condom.
Acha kujidanganya walopata ukimwi wote hawakutumia condom?? Sometimes zinapasuka katikati ya mchezo ukiwa unaelekea kupiga mshindo. Mungu tu atunusuru mkuu hii ni kama ajali
 
Ndo maana ni muhimu kupima.
 
Back
Top Bottom