Ugonjwa unaomsumbua bwana yule unatokana na laana za kula jasho la watu

😳😳😳 sio ini?kijana alitupa tabu sana sie team Makonda,cha moto tulikiona japo tulivuka salama.acheni Mungu aitwe Mungu dah
Figo imesababishwa na upungufu wa kinga mwilini unaosababishwa na virus vya ukimwi.
 
Watanzania sio watu wazuri ni wanafiki mno.Wakati upo juu huwa wanashangilia ila ukishuka chini ndo hao hao wanashiriki kukuzomea.....
Bint yangu mdogo aliniuliza swali baba watanzania ni watu wa namna gani ukitaka kuwaelezea kwa ujumla. Swali nikiliona gumu usumbufu kama siku tatu sijamjibu mwisho nikaona ujinga nikamwambia muangalie vizuri Theodore bagwell (T_bag )wa prison break.
 
Ugonjwa unaomtesa na kumnyoosha vilivyo Mr X kutoka taasisi fulani ya masuala ya muziki unachagizwa kwa kiasi kikubwa na laana za kuwadhulumu jasho lao wasanii mbalimbali hapa nchini kwa kujifanya Mungu mtu.

Yani atazidi kukongoroka zaidi ya hapo, kwanza alinyanga'nywa demu wake suala ambalo lilimpa pigo takatifu ,pili kilio cha muda mrefu cha wasanii mbalimbali waliokandamizwa na Mr X kwa masilahi yake binafsi kimesikika kwa Mungu sasa Mungu ameamua kumuadhibu Mr X kwa unyama aliokuwa akiufanya kwa watu mbalimbali maana Mr X ni mtu mwenye roho mbaya sana japo ukimuangalia usoni anaonekana mpole mpole.

[emoji23][emoji23][emoji23]Mr X kibao kimemgeukia sasa hivi anapata tabu sana ,sisi wengine tunafurahi vilivyo jinsi anavyoteseka ili liwe funzo kwa wengine.
Mbona huyu mtu mwingine anapiga watu risasi na yuko chuma? Nieleweshe
 
Bint yangu mdogo aliniuliza swali baba watanzania ni watu wa namna gani ukitaka kuwaelezea kwa ujumla. Swali nikiliona gumu usumbufu kama siku tatu sijamjibu mwisho nikaona ujinga nikamwambia muangalie vizuri Theodore bagwell (T_bag )wa prison break.
Vipi ameshaota chuchu?
 
Ila yule jamaa alikuwa balaa jamn kwanza alkuwa malaya sanaa, pili alkuwa anawaibia sana wasanii inasemekana pia alkuwa anawagegeda wasanii wakiume na wengine kuwabebesha madawa, jamaa yule si mtu mzuri hata kidogo, kwel hata sie tutaumwa na kufa lkn yule jamaa lazma mungu amfunze, ushawah kuona mtu mchawi anavoteswka kabla ya kufa anaropokwa mpk aliowauwa sasa jamaa yule atajuta sana kwa aliyotenda kabla ya kufa....
Alikuwa anawagegeda wasanii wa kiume??? U sure?
 
Bint yangu mdogo aliniuliza swali baba watanzania ni watu wa namna gani ukitaka kuwaelezea kwa ujumla. Swali nikiliona gumu usumbufu kama siku tatu sijamjibu mwisho nikaona ujinga nikamwambia muangalie vizuri Theodore bagwell (T_bag )wa prison break.
Umenikumbusha mbali huyu jamaa huwa hana shukrani hata kama ungemuokoa kwenye kifo.Ni mnafiki sana
 
Maradhi ni ibada,ni mitihani ya mwenyezi Mungu tu,ni moja ya njia ya mwenyezi Mungu kutukumbusha sisi binadamu kua yeye yupo na ni yeye pekee anayepaswa kuabudiwa kwa haki,hata mitume wa Mungu walikua wakiugua pia,

Mleta mada acha kumkufuru Mungu au kuhukumu binadamu wenzako,dunia ni mapito tu,
jiheshimu,
heshimu wenzako.
kisha mpende Mungu,
mwisho wa siku wote tutakufa hakuna atakaye ishi milele,

Mungu awaponye wote wenye maradhi in sha Allah.
Unajua mudy anawapotosha Sana,eti maradhi Ni ibada??? Acheni utumwa wa kidini nyinyi,hivi mnafikiriaga kwa kutumia nini??? Ama kweli dini ni upofu
 
kuabudu ni kufuata utaratibu/utashi uliowekwa,kuabudu sio kwenda kuomba jumba la ibada,ndio maana hata kupumua,kula,kulala ni ibada,wanaojua maana ya ibada huwa wanaandika'nchi masikini zinaabudu nchi tajiri'..yaanj zinafuata kile watoa misaada wasemacho..the concept of ibadah is broad fella sio kupiga magita weekend...ukiumwa unakua mtu mwema sana
 
Unajua mudy anawapotosha Sana,eti maradhi Ni ibada??? Acheni utumwa wa kidini nyinyi,hivi mnafikiriaga kwa kutumia nini??? Ama kweli dini ni upofu
Samahani, huyo mudy mtu wa ajabu, watu wana akili mavi! Mungu hawawezi kutumia njia nzuri kuwakumbusha kuwa yupo?
 
Ugonjwa unaomtesa na kumnyoosha vilivyo Mr X kutoka taasisi fulani ya masuala ya muziki unachagizwa kwa kiasi kikubwa na laana za kuwadhulumu jasho lao wasanii mbalimbali hapa nchini kwa kujifanya Mungu mtu.

Yani atazidi kukongoroka zaidi ya hapo, kwanza alinyanga'nywa demu wake suala ambalo lilimpa pigo takatifu ,pili kilio cha muda mrefu cha wasanii mbalimbali waliokandamizwa na Mr X kwa masilahi yake binafsi kimesikika kwa Mungu sasa Mungu ameamua kumuadhibu Mr X kwa unyama aliokuwa akiufanya kwa watu mbalimbali maana Mr X ni mtu mwenye roho mbaya sana japo ukimuangalia usoni anaonekana mpole mpole.

[emoji23][emoji23][emoji23]Mr X kibao kimemgeukia sasa hivi anapata tabu sana ,sisi wengine tunafurahi vilivyo jinsi anavyoteseka ili liwe funzo kwa wengine.

Namna unavyofikiri ni kipimo tosha cha kujua uwezo wako wa kukabiliana na maisha.
Ukiona unafurahia anguko la binadamu mwenzako ilihali hata akianguka ule uwezo wake hauwezi kuwa wako kwa namna yoyote basi ni wakati sahihi wa wewe kujitafakari.
Yamkini ana madudu yake but always, in any way "Man support Man". Business yako Haiwezi kubaki salama kwa kuua business ya mwenzio.

Grow up na utafute mkate wako wa kila siku.
Na la mwisho nikwambie kitu, Hakuna usawa wa maisha toka kuumbwa kwa misingi ya hii dunia. Fight your battle
 
Back
Top Bottom