Ugonjwa Unaoua Ndani ya Muda Maalumu!!

Ugonjwa Unaoua Ndani ya Muda Maalumu!!

reandle

JF-Expert Member
Joined
May 6, 2009
Posts
11,166
Reaction score
8,148
Wadau wa Jukwa hili,
Kuna kitu naanda!! Pamoja na hayo, nigependa kama kuna ugonjwa wowote ambao mwathirika akiupata anaweza kufa after specific period of time.....but let it be(say) after two years!!! Magonjwa ninayohitaji kufahamu si yale staili ya Ebola! Nimejitahidi sana ku-google nimeshingwa; probably i don't have the right key word.

Labda nitoe mfano kidogo!! Tuchukulie tamthilia ya Prison Break. Michael Scofield anagundulika ana Brain Tumor ambayo anaambiwa ataendelea kusihi hadi miaka 31 tu!! Na hata pale alipofanya suicide in favor of Sarah, ilikuwa tayari ameshagundua kwamba according to medica report, alikuwa amebakiwa na siku chache sana za kuishi kwahiyo akaona ni kheri afe yeye the walking dead kuliko mtu ambae hana hiyo status.

Nimejaribu kui-study hiyo Brain Tumor...nimeshindwa ku-connect dots ya namna gani mtu anaweza kufikia hiyo situation hasa baada ya kuona ni kama kuna aina nyingi.....haya mambo bwana, hakika yana wenyewe!!

So, kama kuna mtaalamu yeyote ambae anaweza kunisaidia kwa hilo, then plz help! Si mbaya hata nikipata maelezo ya kina kidogo kuhusu hiyo Brain Tumor ikiwa hakuna ugonjwa mwingine ambao unaweza ku-fit for purpose!
 
Wataalamu,
Still waiting for any possible inputs!
 
Brain tumor ni kwamba unakuwa na tumor kwenye ubongo wako na tatizo la cancer ni kwamba ina sambaa inaweza kusambaa kwenye sehemu nyingine ya ubongo au hata kwenye sehemu nyingine za mwili wako..Na tatizo ukishapata hio brain tumor operation is very complicated and impossible kwasababu unaweza kulemaa wakifanya kosa dogo sana ushindwe kuongea/kujisogeza au hata kupelekea kifo.
Njia ya kutibu ni kwa chemotherapy ambayo ni aggressive medication yaani ni high doses of cytostatics ili kuavoid blood supply to the tumor ili hio tumor isiendelee kukua kwasababu hio tumor inapata nutrients zote kupitia kwenye damu,tatizo ni kwamba hizo sawa zina sideeffects nyingi sana ambazo
vilevile zinaweza kukuua kubwa yao ni kwamba inaharibu/kupunguza white blood cells(important for your immune defense)kwahio unakuwa in huge risk of getting any infection,inapunguza red blood cells(important for production of haemoglobin),na trombocyttes(ambazo ni muhimu for blood clotting).Inasababisha pia bone marrow suppression and much much more
Magonjwa mengi ya jamii ya cancer ni hatari mfano LEUKEMIA(BLOOD CANCER) huponi ugonjwa huu.
Mgonjwa mengi ya autoimmue hayatibiki na unakuwa na muda maalumu wa kuishi kabla kifo na hayo magonjwa yako mengiiii zaidi ya 80.Nimekupa baadhi ya mifano.
AUTOIMMUNE:Your own immune system attacks your body cells.
MULTIPEL SCLEOROSIS-is an autoimmune disease which attacks the nerve system(brain and the bone marrow) especially to women with age range 25-45 which is inucrable.
CYSTIC FIBROSIS-another autoimmue disease which is
an inherited disease of the mucus and sweat glands. It affects mostly your lungs, pancreas, liver, intestines, sinuses and sex organs. CF causes your mucus to be thick and sticky. The mucus clogs the lungs, causing breathing problems and making it easy for bacteria to grow. This can lead to problems such as repeated lung infections and lung damage.Wanaopata huu ugonjwa hawaishi zaidi ya miaka 18 mostly.
Wanasayansi wamegundua dawa zinazoweza kupunguza symptoms za ugonjwa na kuongeza muda wa kuishi kwa wagonjwa hawa.
Dawa hizo zinaitwa TNF-alfa inhibitors ambazo ni very expensive they cost a fortune.
 
Sidhani kama kuna ugonjwa ambao dr anaweza kukupa specific date za kuishi ila unaweza kuambiwa umebakiwa siku ngapi za kuishi kama utachelewa kuanza matibabu na ugonjwa ukawa umesambaa na kushindwa kutibika....hapa uk nimeshuhudia jamaa yetu mmoja aliambiwa ana miezi miwili tu ya kuishi baada ya kuchelewa kuitibu kansa.
 
Kwa uzoefu wangu kidogo, magonjwa ya kansa yanaweza kukadiriwa kuwa mgonjwa ataishi kwa muda gani. Ingawa makadirio hayo sio mara zote yanakuwa exactly (kumbuka yule dada mtangazaji wa tv), lakini kwa kiasi kikubwa yanakaribia usahihi. Kwa hiyo, aina nyingi za kansa zile ambazo haziwezi kutibiwa tena, wataalamu wanaweza kukadiria muda wa kuishi. Lakini pia magonjwa kama ya heart na kidney failures yanaweza kukadiriwa na wataalamu wake kuwa mwisho wa maisha utakuwa lini.
 
Mkuu mimi49,
Ahsante sana kwa maelezo yako. Kwa hakika, yanatosha sana coz' nilichotakiwa kufanya ni kuandika kitu kinacho-make sense. So, nikishaunganisha dots kwenye haya maelezo yako, hakika nitapata ninachohitaji hasa! Thanks again!
 
Last edited by a moderator:
Sidhani kama kuna ugonjwa ambao dr anaweza kukupa specific date za kuishi ila unaweza kuambiwa umebakiwa siku ngapi za kuishi kama utachelewa kuanza matibabu na ugonjwa ukawa umesambaa na kushindwa kutibika....hapa uk nimeshuhudia jamaa yetu mmoja aliambiwa ana miezi miwili tu ya kuishi baada ya kuchelewa kuitibu kansa.

Kwa uzoefu wangu kidogo, magonjwa ya kansa yanaweza kukadiriwa kuwa mgonjwa ataishi kwa muda gani. Ingawa makadirio hayo sio mara zote yanakuwa exactly (kumbuka yule dada mtangazaji wa tv), lakini kwa kiasi kikubwa yanakaribia usahihi. Kwa hiyo, aina nyingi za kansa zile ambazo haziwezi kutibiwa tena, wataalamu wanaweza kukadiria muda wa kuishi. Lakini pia magonjwa kama ya heart na kidney failures yanaweza kukadiriwa na wataalamu wake kuwa mwisho wa maisha utakuwa lini.
Thanks kwa maelezo yenu! Hata haya machache, nikishayaunganisha na ya mkuu mimi49, yatanisaidia sana kupata ninachohitaji.
 
Last edited by a moderator:
Kule kwetu mbozi kuna ile ya kutupa punje na unaambiwa utaishi tuseme miaka kadhaa halafu kweli unakufa,
sasa ndo nataka Katavi anisaidie huu ni ugonjwa au ni nini??
 
Last edited by a moderator:
Wadau wa Jukwa hili,
Kuna kitu naanda!! Pamoja na hayo, nigependa kama kuna ugonjwa wowote ambao mwathirika akiupata anaweza kufa after specific period of time.....but let it be(say) after two years!!! Magonjwa ninayohitaji kufahamu si yale staili ya Ebola! Nimejitahidi sana ku-google nimeshingwa; probably i don't have the right key word.

Labda nitoe mfano kidogo!! Tuchukulie tamthilia ya Prison Break. Michael Scofield anagundulika ana Brain Tumor ambayo anaambiwa ataendelea kusihi hadi miaka 31 tu!! Na hata pale alipofanya suicide in favor of Sarah, ilikuwa tayari ameshagundua kwamba according to medica report, alikuwa amebakiwa na siku chache sana za kuishi kwahiyo akaona ni kheri afe yeye the walking dead kuliko mtu ambae hana hiyo status.

Nimejaribu kui-study hiyo Brain Tumor...nimeshindwa ku-connect dots ya namna gani mtu anaweza kufikia hiyo situation hasa baada ya kuona ni kama kuna aina nyingi.....haya mambo bwana, hakika yana wenyewe!!

So, kama kuna mtaalamu yeyote ambae anaweza kunisaidia kwa hilo, then plz help! Si mbaya hata nikipata maelezo ya kina kidogo kuhusu hiyo Brain Tumor ikiwa hakuna ugonjwa mwingine ambao unaweza ku-fit for purpose!

Vipi unataka kuua mtu nini kwa huo ugonjwa? THou Shall Not KILL
 
Lukago
Unarogwa, akidediketi ufe baada ya siku kadhaa badi hivyo hiyo
Na akitaja kife nini na nini hivyo hiyo

Kasheshe ni akisema hata sisimizi hawatabaki kwenu, mmeumia
 
Kule kwetu mbozi kuna ile ya kutupa punje na unaambiwa utaishi tuseme miaka kadhaa halafu kweli unakufa,
sasa ndo nataka Katavi anisaidie huu ni ugonjwa au ni nini??
Nimeribu ku-google "grains throwing disease" lakini nimepata "no results found!" au nimekosea key words?! Je, hata wazungu ai wanaweza pata huo ugonjwa provided kuwe na punje, au?!
 
Lukago
Unarogwa, akidediketi ufe baada ya siku kadhaa badi hivyo hiyo
Na akitaja kife nini na nini hivyo hiyo

Kasheshe ni akisema hata sisimizi hawatabaki kwenu, mmeumia
Ndo ile anayotaka kutumia Zitto Kabwe nini?! Mbona nayo nime-google "Lucargo but no results found? Au Lucargo sio ndo kingereza chake? plz help
 
Sio ugonjwa huo....
kumbe ndo maana nime-google hadi kwenye Encyclopedia Britanica lakini haupo!! Dah, thanks aisee manake ningeendelea ku-google mwaka mzima manake huo "ugonjwa" ulionekana kuwa na sifa zote ninazohitaji![h=3][/h]
 
nikitulia nitakusimulia ugonjwa wenyewe

Back
Top Bottom