Wadau wa Jukwa hili,
Kuna kitu naanda!! Pamoja na hayo, nigependa kama kuna ugonjwa wowote ambao mwathirika akiupata anaweza kufa after specific period of time.....but let it be(say) after two years!!! Magonjwa ninayohitaji kufahamu si yale staili ya Ebola! Nimejitahidi sana ku-google nimeshingwa; probably i don't have the right key word.
Labda nitoe mfano kidogo!! Tuchukulie tamthilia ya Prison Break. Michael Scofield anagundulika ana Brain Tumor ambayo anaambiwa ataendelea kusihi hadi miaka 31 tu!! Na hata pale alipofanya suicide in favor of Sarah, ilikuwa tayari ameshagundua kwamba according to medica report, alikuwa amebakiwa na siku chache sana za kuishi kwahiyo akaona ni kheri afe yeye the walking dead kuliko mtu ambae hana hiyo status.
Nimejaribu kui-study hiyo Brain Tumor...nimeshindwa ku-connect dots ya namna gani mtu anaweza kufikia hiyo situation hasa baada ya kuona ni kama kuna aina nyingi.....haya mambo bwana, hakika yana wenyewe!!
So, kama kuna mtaalamu yeyote ambae anaweza kunisaidia kwa hilo, then plz help! Si mbaya hata nikipata maelezo ya kina kidogo kuhusu hiyo Brain Tumor ikiwa hakuna ugonjwa mwingine ambao unaweza ku-fit for purpose!