Alloyce PR
JF-Expert Member
- Nov 15, 2020
- 817
- 881
"Ugonjwa mkubwa wa Afrika ni mfumowa vyama vingi. Afrika, amkeni ondoeni mfumo wa vyama vingi, mtamalizana wenyewe kwa wenyewe kupambania ndoto za watu binafsi sio taifa." - Alloyce, P.R
Ulishaandika kitu kama hiki but tatizo si mfumo wa vyama vingi, taizo ni uwajibikaji. Kwa sababu zipo nchi za africa zenye mfumo wa vyama vingi na zinafanya vizuri tu.View attachment 3590625
"Ugonjwa mkubwa wa Afrika ni mfumowa vyama vingi. Afrika, amkeni ondoeni mfumo wa vyama vingi, mtamalizana wenyewe kwa wenyewe kupambania ndoto za watu binafsi sio taifa." - Alloyce, P.R
Usichanganye Africa nzima kwa upuuzi wa baadhi ya nchi za Afrika ikiwemo Tanzania.View attachment 3590625
"Ugonjwa mkubwa wa Afrika ni mfumowa vyama vingi. Afrika, amkeni ondoeni mfumo wa vyama vingi, mtamalizana wenyewe kwa wenyewe kupambania ndoto za watu binafsi sio taifa." - Alloyce, P.R
Sio kwelu ugonjwa ni watawala walafi,mafisadi,wavivu wa kufikiri,na wauza rasilimali zataifa huku wakijidanganya kuwa wanayofanyia gizani wanayajua wao peke yao na kiwa itabakia kuwa siri yao huku wakisahau dunia kijiji katika enzi hizi za utandawazi.View attachment 3590625
"Ugonjwa mkubwa wa Afrika ni mfumowa vyama vingi. Afrika, amkeni ondoeni mfumo wa vyama vingi, mtamalizana wenyewe kwa wenyewe kupambania ndoto za watu binafsi sio taifa." - Alloyce, P.R
Hivi anajua kuna nchi nyingi za Africa zilizokuwa na mfumo wa chama kimoja na hali ilikuwa mbaya zaidi ndiyo maana mataifa makubwa yakashinikiza tuingie kwenye mfumo wa vyama vingi? Tatizo letu sisi watanzania hatupendi kusoma ndiyo maana mtu anaweza kuanzisha thread ya aina hii.Sio kwelu ugonjwa ni watawala walafi,mafisadi,wavivu wa kufikiri,na wauza rasilimali zataifa huku wakijidanganya kuwa wanayofanyia gizani wanayajua wao peke yao na kiwa itabakia kuwa siri yao huku wakisahau dunia kijiji katika enzi hizi za utandawazi.
Ulishaandika kitu kama hiki but tatizo si mfumo wa vyama vingi, taizo ni uwajibikaji. Kwa sababu zipo nchi za africa zenye mfumo wa vyama vingi na zinafanya vizuri tu.
Uwajibikaji, kutokuwa na tamaa za hovyo. Kwa sasa afrika ilipo hata mfumo utoke mbinguni hakutokuwa na nafuu maana tabia za kiafrika zitatokea tu again and again
Sio kwelu ugonjwa ni watawala walafi,mafisadi,wavivu wa kufikiri,na wauza rasilimali zataifa huku wakijidanganya kuwa wanayofanyia gizani wanayajua wao peke yao na kiwa itabakia kuwa siri yao huku wakisahau dunia kijiji katika enzi hizi za utandawazi.
Nchi ipi ya Afrika yenye Vyama vingi yenye mifumo na uwajibikaji wa kueleweka ?Ulishaandika kitu kama hiki but tatizo si mfumo wa vyama vingi, taizo ni uwajibikaji. Kwa sababu zipo nchi za africa zenye mfumo wa vyama vingi na zinafanya vizuri tu.
Uwajibikaji, kutokuwa na tamaa za hovyo. Kwa sasa afrika ilipo hata mfumo utoke mbinguni hakutokuwa na nafuu maana tabia za kiafrika zitatokea tu again and again
😂😂 Hiyo ya mcahifu hapana mkuu😂😂😂Mwishowe mtasema bora machifv warudi