Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Labda wanasubiri usambae kidogo....Ili mafungu ya pesa ya misaada na vitendea kazi vije....si unajua tena kufa kufaana bongo style.....kaazi kweli kweli..Nimeona taarifa kuhusu huu ugonjwa, lakini sijaona taarifa yoyote rasmi toka kwa waziri husika, na ugonjwa wenyewe unaonekana ni hatari hasa ukitazama uwepo wa magonjwa kama Ebola toka nchi jirani za Uganda na Congo.
Nchi hii mtafaruku sana hasa katika mambo yahusuyo afya za watu.L
Labda wanasubiri usambae kidogo....Ili mafungu ya pesa ya misaada na vitendea kazi vije....si unajua tena kufa kufaana bongo style.....kaazi kweli kweli..
Taarifa rasmi ilikuwa hii hapa:Nimeona taarifa kuhusu huu ugonjwa, lakini sijaona taarifa yoyote rasmi toka kwa waziri husika, na ugonjwa wenyewe unaonekana ni hatari hasa ukitazama uwepo wa magonjwa kama Ebola toka nchi jirani za Uganda na Congo.
Nchi hii mtafaruku sana hasa katika mambo yahusuyo afya za watu.
Utawasikia wanaomba Msaada!
Ujinga wa Hali juu!
Waziri husika na timu nzima hawako kazini!
L
Labda wanasubiri usambae kidogo....Ili mafungu ya pesa ya misaada na vitendea kazi vije....si unajua tena kufa kufaana bongo style.....kaazi kweli kweli..
Sidhani kama tuna wataalamu wa such science! .....Researchers to decipher the causative organism. Wakwetu ni sample collectors....surveys are not research, we can only do surveys, not basic research like that! MtanisameheTarehe 16 March, hatimaye serikali ilitaarifu uwepo wa ugonjwa wa ajabu Kagera.
Wakati maisha yakiendelea mabasi nayo kazini.
Huu uchunguzi tulioarifiwa kuuhusu huu ugonjwa hadi lini?
Sidhani kama tuna wataalamu wa such science! .....Researchers to decipher the causative organism. Wakwetu ni sample collectors....surveys are not research, we can only do surveys, not basic research like that! Mtanisamehe
Hatuna maabara za ku handle samples za maganjwa yenye dalili za hatari.Iite kwa jina lolote. Magonjwa kama haya ni hatari kwa maisha ya binadamu ndiyo maana zipo maabara hata nje ya Tanzania kwa ajili ya uchunguzi.
Hakuna anayewataka kuchunguza maana wai wanaweza chunguza hadi mapapai.
Tunayo haki ya kujua Tulipo kihusiana na ugonjwa huu. Siyo kukaa kimya.
Maabara za dunia nzima zipo available kwa kupima magonjwa yasiyofahamika bila shaka bure. Achilia mbali zile za kwetu zilizo kibiashara zaidi:Hatuna maabara za ku handle samples za maganjwa yenye dalili za hatari.
hicho ni sehemu tu ya kielelezo jinsi nchi yetu isivyojali maisha ya watu wake.uhai wa wananchi unawekwa rehani kiuzembe uzembe.fikiria mabasi yako barabarani,makanisani misa zinaendelea kama kawaida,kwenyemabaa,masoko nk hakuna tahadhali yoyote inayochukuliwa na watawala.tumeambiwa tu sampuli zimepelekwa dar na hatimaye kimywa.je kama ni ebola kagera ni salama.ninavyofahamu maruku si mbali sana na mjini na kuna vyuo vya kilimo na utafiti pale kwa maana ya kuwepo na mwingiliano mkubwa.je hiyo jamii pia iko salama?Nimeona taarifa kuhusu huu ugonjwa, lakini sijaona taarifa yoyote rasmi toka kwa waziri husika, na ugonjwa wenyewe unaonekana ni hatari hasa ukitazama uwepo wa magonjwa kama Ebola toka nchi jirani za Uganda na Congo.
hicho ni sehemu tu ya kielelezo jinsi nchi yetu isivyojali maisha ya watu wake.uhai wa wananchi unawekwa rehani kiuzembe uzembe.fikiria mabasi yako barabarani,makanisani misa zinaendelea kama kawaida,kwenyemabaa,masoko nk hakuna tahadhali yoyote inayochukuliwa na watawala.tumeambiwa tu sampuli zimepelekwa dar na hatimaye kimywa.je kama ni ebola kagera ni salama.ninavyofahamu maruku si mbali sana na mjini na kuna vyuo vya kilimo na utafiti pale kwa maana ya kuwepo na mwingiliano mkubwa.je hiyo jamii pia iko salama?