Ugonjwa wa chigugunda au chidumba wa Mtwara ni ugonjwa gani?

The Boss

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2009
Posts
49,320
Reaction score
117,674
Nimesikia huko Mtwara kuna ugonjwa huwa unaibuka na kupotea unaitwa chigugunda au chidumba..

Na dalili zake ni kukohoa na kichwa kuuma..na dalili zote kama za huu ugonjwa wa Corona...

Ifahamike pia wamakonde na wachina hawatofautiani kwenye Kula wanyama wa kila aina....

Kuna yeyote mwenye ufahamu zaidi?
 
Mama wa Afya - Ummy hajasema kuhusu hiyo ndumba.
Tuache tupambane na hiki kideri kwa sasa.
 
Nimesikia huko Mtwara kuna ugonjwa huwa unaibuka na kupotea unaitwa chigugunda au chidumba..
Na dalili zake ni kukohoa na kichwa kuuma..na dalili zote kama za huu ugonjwa wa Corona...

Ifahamike pia wamakonde na wachina hawatofautiani kwenye Kula wanyama wa kila aina....
Kuna yeyote mwenye ufahamu zaidi?
Wamakonde ni waislam 99% wanyama wa kila aina kwao ni Haram. Alafu hiyo inaitwa Chingungunda siyo chigugunda.
Hizo homa zipo na dalili zake siyo hizo, kiufupi chidumba na Chingungunda ni Malaria iliyopewa majina ya kienyeji, na hutibiwa kienyeji au dawa za malaria.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chidumba ni homa kali ya mafua inayoambatana na kuumwa kichwa na dalili za maralia wakati mwingine. Mara nyingi homa hii hushamiri wakati wa kipupwe. Ila siwezi kusema ni korona hata Kama dalili zake zinafanana.
Chidumba hii Kwa Wamakonde wanaokula panya
Na Corona ya wachina wanaokula popo kama ni ugonjwa mmoja?Au?
 
Wamakonde ni waislam 99% wanyama wa kila aina kwao ni Haram. Alafu hiyo inaitwa Chingungunda siyo chigugunda.
Hizo homa zipo na dalili zake siyo hizo, kiufupi chidumba na Chingungunda ni Malaria iliyopewa majina ya kienyeji, na hutibiwa kienyeji au dawa za malaria.

Sent using Jamii Forums mobile app
Na wale wanaokula panya na kuita panya samaki nchanga ..na wanabanika panya waziwazi mtwara ni kina nani?
 
Hilo la 99% lina utata.
 
Na wale wanaokula panya na kuita panya samaki nchanga ..na wanabanika panya waziwazi mtwara ni kina nani?
Chidumba= ni homa ya mafua ya kawaida ambayo wengi wetu tushawahi kuugua
CHIKUNGUNYA= ni homa kwa 80% maelezo yanayoendelea kusikikwa kuhusu CORONA yanashabihiana eg. Kukohoa, mafua mepesi na huwa na rangi ya MANJANO, maumivu ya kichwa tena misuri ya kichwa hukaza mno utosini na hutokwa na jasho na mara nyingi masika ndio huwa inajitokeza na wengi wao hunasiibisha na Malaria ila ukipima hukuta hamna na wachache yaweza akawa homa zote hizo anazo ila kwa kuhisi kuwa kaambiwa Malaria basi hubaki na hilo kwa kuwa CHIKUNGUNYA hamna na kipimo wala dawa maalum vijijini hutumia za asili.

CHIHOBA= Hii ni homa ambayo ilisumbua na ilikuwa ya mlipuko km kipindupiindu tofauti yake CHIHOBA hamna kuharisha hii ilikuwa ni maumivu ya tumbo mwili uliambatana na vipele na watu walifariki nao kwa kiasi miiaka ya 1995-96 kinga sasa ndo kulikuwa na madudu ulikuwa unaveshwa jani la mgomba lililosukwa km kamba na hadi inapotea sikusikia jina la kitaalam wala dawa ya ki pharmacy .

PANYA Haliwi Mtwara, Nanyamba,Tandahimba na Newala hizo ni wilaya za wamakonde kwa 90%
Bali huliwa Nagaga na Chiungutwa (kwa Rais mstaaf) Masasi, Nanyumbu, Ndanda pia na wilaya 2 mbili za mkoa wa lindi Nachingwea na Rwangwa kwa Waziri mkuu hzo wilaya hupatikana makabila madogo kwa Tz ambayo ni WAMAKUWA, WAMWERA na hao ndio walaji wa samakinchanga ila sio wote Tanbihi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni kweli ila huwa hatufi, hii homa inatabia ya kuwalaza kitandan familia nzima, yaan unaweza kuta wote mnaumwa kuanzia baba mama watoto mpaka wajukuu, sema haisababishagi vifo Mara nyingi, yaan mnaumwa alafu mnapona maisha yanaendelea, nishawahi kuumwa Mara kadhaa,
Chidumba ni homa kali ya mafua inayoambatana na kuumwa kichwa na dalili za maralia wakati mwingine. Mara nyingi homa hii hushamiri wakati wa kipupwe. Ila siwezi kusema ni korona hata Kama dalili zake zinafanana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimesikia huko Mtwara kuna ugonjwa huwa unaibuka na kupotea unaitwa chigugunda au chidumba..

Na dalili zake ni kukohoa na kichwa kuuma..na dalili zote kama za huu ugonjwa wa Corona...

Ifahamike pia wamakonde na wachina hawatofautiani kwenye Kula wanyama wa kila aina....

Kuna yeyote mwenye ufahamu zaidi?

Dogo wacha ujinga, nimeishi na kufundisha Mtwara. Wamakonde si kama wachina, hawali kila aina ya chakula, huu ni uwongo na uache kupotosha watu.
 
Back
Top Bottom