Ugonjwa wa chigugunda au chidumba wa Mtwara ni ugonjwa gani?

Nimesikia huko Mtwara kuna ugonjwa huwa unaibuka na kupotea unaitwa chigugunda au chidumba..

Na dalili zake ni kukohoa na kichwa kuuma..na dalili zote kama za huu ugonjwa wa Corona...

Ifahamike pia wamakonde na wachina hawatofautiani kwenye Kula wanyama wa kila aina....

Kuna yeyote mwenye ufahamu zaidi?

Huu ugonjwa anao Harmonize, yaani mtu unapatwa na kichaa cha ujanani…..leo utakuwa na nywele nyeupe, kesho utataka demu wa kizungu akupige vidole hadharani ili watu waseme unapendwa. Yaani ni ugonjwa wa hajabu sana, tunamshuhudia Harmonize.
 
Chidumba= ni homa ya mafua ya kawaida ambayo wengi wetu tushawahi kuugua
CHIKUNGUNYA= ni homa kwa 80% maelezo yanayoendelea kusikikwa kuhusu CORONA yanashabihiana eg. Kukohoa, mafua mepesi na huwa na rangi ya MANJANO, maumivu ya kichwa tena misuri ya kichwa hukaza mno utosini na hutokwa na jasho na mara nyingi masika ndio huwa inajitokeza na wengi wao hunasiibisha na Malaria ila ukipima hukuta hamna na wachache yaweza akawa homa zote hizo anazo ila kwa kuhisi kuwa kaambiwa Malaria basi hubaki na hilo kwa kuwa CHIKUNGUNYA hamna na kipimo wala dawa maalum vijijini hutumia za asili.

CHIHOBA= Hii ni homa ambayo ilisumbua na ilikuwa ya mlipuko km kipindupiindu tofauti yake CHIHOBA hamna kuharisha hii ilikuwa ni maumivu ya tumbo mwili uliambatana na vipele na watu walifariki nao kwa kiasi miiaka ya 1995-96 kinga sasa ndo kulikuwa na madudu ulikuwa unaveshwa jani la mgomba lililosukwa km kamba na hadi inapotea sikusikia jina la kitaalam wala dawa ya ki pharmacy .

PANYA Haliwi Mtwara, Nanyamba,Tandahimba na Newala hizo ni wilaya za wamakonde kwa 90%
Bali huliwa Nagaga na Chiungutwa (kwa Rais mstaaf) Masasi, Nanyumbu, Ndanda pia na wilaya 2 mbili za mkoa wa lindi Nachingwea na Rwangwa kwa Waziri mkuu hzo wilaya hupatikana makabila madogo kwa Tz ambayo ni WAMAKUWA, WAMWERA na hao ndio walaji wa samakinchanga ila sio wote Tanbihi.

Sent using Jamii Forums mobile app

Shida ni kuwa tafiti hatufanyi..if only
 
Back
Top Bottom