Wamakonde ni waislam 99% wanyama wa kila aina kwao ni Haram. Alafu hiyo inaitwa Chingungunda siyo chigugunda.Nimesikia huko Mtwara kuna ugonjwa huwa unaibuka na kupotea unaitwa chigugunda au chidumba..
Na dalili zake ni kukohoa na kichwa kuuma..na dalili zote kama za huu ugonjwa wa Corona...
Ifahamike pia wamakonde na wachina hawatofautiani kwenye Kula wanyama wa kila aina....
Kuna yeyote mwenye ufahamu zaidi?
Chidumba hii Kwa Wamakonde wanaokula panyaChidumba ni homa kali ya mafua inayoambatana na kuumwa kichwa na dalili za maralia wakati mwingine. Mara nyingi homa hii hushamiri wakati wa kipupwe. Ila siwezi kusema ni korona hata Kama dalili zake zinafanana.
Na wale wanaokula panya na kuita panya samaki nchanga ..na wanabanika panya waziwazi mtwara ni kina nani?Wamakonde ni waislam 99% wanyama wa kila aina kwao ni Haram. Alafu hiyo inaitwa Chingungunda siyo chigugunda.
Hizo homa zipo na dalili zake siyo hizo, kiufupi chidumba na Chingungunda ni Malaria iliyopewa majina ya kienyeji, na hutibiwa kienyeji au dawa za malaria.
Sent using Jamii Forums mobile app
Unaleta mzaha kwenye gonjwa linaloghalimu maisha ya watu!?Chidumba hii Kwa Wamakonde wanaokula panya
Na Corona ya wachina wanaokula popo kama ni ugonjwa mmoja?Au?
Panya ni haramu kwao?Wamakonde ni waislam 99% wanyama wa kila aina kwao ni Haram. Alafu hiyo inaitwa Chingungunda siyo chigugunda.
Hizo homa zipo na dalili zake siyo hizo, kiufupi chidumba na Chingungunda ni Malaria iliyopewa majina ya kienyeji, na hutibiwa kienyeji au dawa za malaria.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hilo la 99% lina utata.Wamakonde ni waislam 99% wanyama wa kila aina kwao ni Haram. Alafu hiyo inaitwa Chingungunda siyo chigugunda.
Hizo homa zipo na dalili zake siyo hizo, kiufupi chidumba na Chingungunda ni Malaria iliyopewa majina ya kienyeji, na hutibiwa kienyeji au dawa za malaria.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wamakua na wamwela ndo wanaongoza kula panya...wamakonde ni namba ndogo tu.Na wale wanaokula panya na kuita panya samaki nchanga ..na wanabanika panya waziwazi mtwara ni kina nani?
Chidumba= ni homa ya mafua ya kawaida ambayo wengi wetu tushawahi kuuguaNa wale wanaokula panya na kuita panya samaki nchanga ..na wanabanika panya waziwazi mtwara ni kina nani?
Chidumba ni homa kali ya mafua inayoambatana na kuumwa kichwa na dalili za maralia wakati mwingine. Mara nyingi homa hii hushamiri wakati wa kipupwe. Ila siwezi kusema ni korona hata Kama dalili zake zinafanana.
Nimesikia huko Mtwara kuna ugonjwa huwa unaibuka na kupotea unaitwa chigugunda au chidumba..
Na dalili zake ni kukohoa na kichwa kuuma..na dalili zote kama za huu ugonjwa wa Corona...
Ifahamike pia wamakonde na wachina hawatofautiani kwenye Kula wanyama wa kila aina....
Kuna yeyote mwenye ufahamu zaidi?
Kuna makundi mawili ya Wamakonde. Kundi la kwanza ni Wamakonde wa Mtwara, Newala na Tandahimba. Hawa asilimia 99 ni Waislamu. Kuna kundi lingine ni Wamakonde wanaotoka Msumbiji hawa asilimia 99 ni Wakristo.