Mkuu jaribu Mbeya ipo soko matola (hosp siikumbuki vizuri) kule naskia kuna daktari mzuri anasaidia ntaulizia ) japo aliyenisanua bado anajiangalia ndani ya huu mwaka atakavyoendelea japo alikuwa na hali mbaya kabla ya matibabu ila nilivyomuona baada ya matibabu nilishangaa alivyoimprove amerejea katika hali yake ya kawaidaMi inanitesa sana.