fundi bishoo
JF-Expert Member
- Jun 26, 2018
- 14,264
- 27,132
mkuu mara 2?? tena vya vpande vya mgawoHautabaki salama.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mkuu mara 2?? tena vya vpande vya mgawoHautabaki salama.
Mbuzi ni GOAT; Ugonjwa ni GOUT (Ukiyatamka maneno hayo; mbuzi hutamkwa "Goot" na ugonjwa hutamkwa "Gaut " Gout kwa Kiswahili hujulikana kama JONGO. Haya majina yanamaanisha vitu viwili TOFAUTI KABISA. Kwa ufupi tu ni kwamba: Nyama zote nyekundu i.e. ya Mbuzi, ya kondoo, ya ng'ombe hata za wanyama pori alimradi iwe ni red meat huongeza kasi ya kupata huo ugonjwa.(Zipo predisposing factors nyingine ili mtu aweze kuathirika na ugonjwa huo na sio ulaji wa nyama ya mbuzi tu. Ingekuwa kweli ni hivyo basi ss Wamaa wote tungeliathirika; na pia Demographic Distribution ya Ugonjwa huo ingelionesha viwango vya juu vya kusambaa kwa ugonjwa huo ni kuanzia Ukanda wa Monduli hadi Kiteto na Morogoro). Kitu ambacho hakiko hivyo. Usimsakame mbuzi kwakuwa tu eti jina lake linakaribia-karibia kufanana na jina la huo ugonjwa.Tiba yake ni kuachaa kula nyama zenye cholesterol kwa wingi, hiyo cholestrol ipo zaidi kwenye nyama nyekundu na ndio zinazopendwa pia zipo sana kwenye organ kama maini figo za wanyama wenye miguu minne japokuwa haipo sana kwenye kiti moto
Matibabu ni dawa za maumivu makali kama diclofenac (olfen),kwa kuondoa hizo uric acid mgonjwa hupewa Halopolinal kwa muda wa week mbili, ila GOUT inatabia ya kujirudia rudia.
Si wamekwambia hiyo sumu ni kaliii!mkuu mara 2?? tena vya vpande vya mgawo
Hahahahahaha miaka zaidi ya 40 nyama choma ya mbuzi na castle lager natumia leo hii mnakuja na utafiti wenu siwezi acha nyama ya mbuziJamaa analosema ni kweli, kuna kipindi nimekula nyama ya mbuzi kibaha mwezi mzima daily, madhara yake nimeyaona baada ya miezi miwili,joint ziliuma sana, nkatumia pain killer's, nkidhani ni muscle pull, lakin wapi nimeteseka sana
Mi naiogopa mkuu sikutaniiHahahahahaha miaka zaidi ya 40 nyama choma ya mbuzi na castle lager natumia leo hii mnakuja na utafiti wenu siwezi acha nyama ya mbuzi
Hahahahahaha mimi duniani hapa kitoweo kizuri nyama ya mbuzi na ya kuku baaaasiMi naiogopa mkuu sikutanii
Msisitizie kuwa nyama hiyo iwe imeiva vizuri na asisahau na kapilipili kwa pembeni.Muhudumu lete mbuzi choma na ndizi mbili
Umenena vema mkuu. Kama ni shida kupata mgenesium trisilicate unaweza pia kutumia Baking powder (Sodium bicarbonate) kwa kuiongeza kidogo (isizidi kijiko kimoja cha chai) kwenye maji yako ya kunywa.Usihof mimi huwa nakula mbuzi choma balaa.....mbuzi ni kweli nyama yake ina acid nyingi.....lkn pindi ukiisha kula kunywa maji yenye PH8....kwa mfano maji ya ndanda...ama unaweza kuchanganya maji yanye PH 7....mfano maji ya Kilimanjaro na kidonge cha magnesium....ili kuongeza PH kati ya nane mpaka tisa...kisha kunywa ....kimsingi ina nutrolise acid yote....msiogope kula mbuzi kwa tishio la gout mkajinyima raha....those above are the preventive measures....pls continue to enjoy goat meat ......
Sure japo shida siyo Cholesterol ni purines ambazo zinapatikana kwenye damu. Kwahiyo hata damu na nyama za ndani kama maini, figo, bandama etc siyo nzuri. pia bia nazo siyo nzuri.Tiba yake ni kuachaa kula nyama zenye cholesterol kwa wingi, hiyo cholestrol ipo zaidi kwenye nyama nyekundu na ndio zinazopendwa pia zipo sana kwenye organ kama maini figo za wanyama wenye miguu minne japokuwa haipo sana kwenye kiti moto
Matibabu ni dawa za maumivu makali kama diclofenac (olfen),kwa kuondoa hizo uric acid mgonjwa hupewa Halopolinal kwa muda wa week mbili, ila GOUT inatabia ya kujirudia rudia.
wamasai co wenzio ooh,Ila chakushangaza sijnawahi kusikia mmasai anaumwa huo ugonjwa ndo watumiaji wakubwa wa nyama
Kwahiyo, kula nyama ya mbuzi ni dhambi kama ilivyokula KITIMOTO ?
Maana Kitimoto inaelezwa kuwa ni nyama yenye maradhi. Kwa hiyo nyama yenye maradhi ni dhambi kuila.
Mimi siwezi acha kula mbuzi kwakweli,kheri angesema ng'ombe napo ningejaribu