Ugonjwa wa Gauti(Gout): Chanzo, Dalili na Tiba yake

Hapo ndipo mnapokosea sikiliza kijana
Kwa gout inayoanza kushambulia kwa ghafla(acute gout) tumia declofenac au colcichine na kwa gout ambyo ni chronic mean week 3 na zaidi unatumia allupurinol au probenecid,zote ni dawa za gout ila ukitumia tofauti na nilivoandika huponi
 
nyama ya mbuzi msiendekeze sana kula, huwa ina legeza joints!
Ni tamu mdomoni lakini ni sumu
 
Ina mafuta futa fulani huitwa cholesterol, Hiyo colesterol ikiisha sagwa mabaki yake mojawapo ni uric acid, hizi uric acid zimefanana kama misumali midogo (needle shaped). Mwili hutoa mabaki hayo kwa njia ya mkojo lakini kabla hayajatolewa hupita sehemu mbali mbali mwilini. Kwa mfano hizi uric acid zikifika kwenye joint hasa za vidole gumba vya miguuni huwa zinakwama pale, shauri ya hizo vimisumari (needle shape) basi hufanya joint iume sana maumivu makali na vidole gumba kimoja au vyote huvimba na kuwa na maumivu makali sana sana . Hiyo hali ndo huitwa GOUT, usisikieae gout inauma sana.
 
Ina tiba
 
Tiba yake ni kuachaa kula nyama zenye cholesterol kwa wingi, hiyo cholestrol ipo zaidi kwenye nyama nyekundu na ndio zinazopendwa pia zipo sana kwenye organ kama maini figo za wanyama wenye miguu minne japokuwa haipo sana kwenye kiti moto

Matibabu ni dawa za maumivu makali kama diclofenac (olfen),kwa kuondoa hizo uric acid mgonjwa hupewa Halopolinal kwa muda wa week mbili, ila GOUT inatabia ya kujirudia rudia.
 
Ina mafuta futa fulani huitwa cholesterol, Hiyo colesterol ikiisha sagwa mabaki yake mojawapo ni uric acid, hizi uric acid zimefanana kama misumali midogo (needle shaped). Mwili hutoa mabaki hayo kwa njia ya mkojo lakini kabla hayajatolewa hupita sehemu mbali mbali mwilini. Kwa mfano hizi uric acid zikifika kwenye joint hasa za vidole gumba vya miguuni huwa zinakwama pale, shauri ya hizo vimisumari (needle shape) basi hufanya joint iume sana maumivu makali na vidole gumba kimoja au vyote huvimba na kuwa na maumivu makali sana sana . Hiyo hali ndo huitwa GOUT, usisikieae gout inauma sana.
Usihof mimi huwa nakula mbuzi choma balaa.....mbuzi ni kweli nyama yake ina acid nyingi.....lkn pindi ukiisha kula kunywa maji yenye PH8....kwa mfano maji ya ndanda...ama unaweza kuchanganya maji yanye PH 7....mfano maji ya Kilimanjaro na kidonge cha magnesium....ili kuongeza PH kati ya nane mpaka tisa...kisha kunywa ....kimsingi ina nutrolise acid yote....msiogope kula mbuzi kwa tishio la gout mkajinyima raha....those above are the preventive measures....pls continue to enjoy goat meat ......
 
duuh nashkuru mbuzi nimewahi kula Mara 2 tuuuh
Gout haisababishwi na kula mbuzi bali wagonjwa wa gout wanashauriwa kutokula mbuzi kwa sababu mgonjwa wa gout hawezi kutoa vizuri uric acid n.k. katika mkojo wake

Nb: nyama ya mbuzi ina uric acids etc kwa wingi
 
Kwahiyo, kula nyama ya mbuzi ni dhambi kama ilivyokula KITIMOTO ?

Maana Kitimoto inaelezwa kuwa ni nyama yenye maradhi. Kwa hiyo nyama yenye maradhi ni dhambi kuila.
 
Nimekumbuka wimbo wa jua cali "KIASI"... mi napeleka misosi yote ila ndio kwa KIASI
 
Back
Top Bottom