Ugonjwa wa Gauti(Gout): Chanzo, Dalili na Tiba yake

Ugonjwa wa Gauti(Gout): Chanzo, Dalili na Tiba yake

Huo ugonjwa unaitwa gout. U asababishwa na nyama yoyote nyekundu ikiliwa kwa wingi. Ilamara nyiki huathiri vidole hasa gumba na viwiko/vipepsi. Bia nayo huchangia.
Ikiliwa mbichi na ikiwa haijaiva inavyotakiwa.
Always boNGO kula welldone.na iwe moto sio ya jana.
 
Kweli nakumbuka nilikula karibu siku tatu mfululizo miguu iliniuma sana
 
Kwa kuwaka miguu kwenye nyayo tatizo hilo hata mimi ninalipitia inaweza kuwa ni upungufu wa vitamini B12 nenda pharmacy nunua 12 ya vidonge ya Pakistan inaitwa Incobal. vyakula ni best options lakini inachukua muda mrefu sana kutatua tatizo.
Ushauri tumia vitamin B12 na vyakula vinavyojenga vitamin B12 itasaidia na utakuja kutoa ushuhuda hapa
 
Mkuu hilo tatizo la miguu kuwaka moto ninalo sana nilishawahi kufungua uzi kwa ajili hiyo ila haijawahi nisaidia. B12 vitamin nimeshawahi itumia pia lakin wapi. Option ya mwisho niliyobakiwa nayo ni kwenda muhimbili tu.
 
Hello Wana JF.
Kwa anayejua dawa ya Gout please anajulishe ,iwe ya Phamacy Au ya kienyeji msaada please
 
Gout ni inflammation, pharmacy wanaweza kukupa anti-inflammation tablets ambazo ni steroid
 
huu ni ugonjwa au kula sana nyama ya mbuzi nimekuwa nakula sana nyama
 
Dawa ya gout kaka ni rahisi sana. chemsha majani ya mti unaitwa mkaratusi kwenye mkojo wa kondoo mwenye mimba. Subiri uo mchemsho upoe kisha kunywa nusu lita asbh na ioni kwa siku tatu tu. siku tatu zifuatazo kunywa maji lita moja unusu kila siku ukiamka. Mwenyewe siuamini lkn kaka nimepona kabisa
Hahahahah dawa zingine usenge tu,,, sasa mkojo wa kondo si una uric acid ambayo haitakiwi!!!
 
JF buana. Naipenda SANA JamiiForums. Ni darasa tosha. Miye ndicho chanzo changu PEKEE cha habari. Mwalemi titso Wana Jamvi..
 
Back
Top Bottom