Ugonjwa wa Gauti(Gout): Chanzo, Dalili na Tiba yake

Ugonjwa wa Gauti(Gout): Chanzo, Dalili na Tiba yake

Hiyo kwangu ni mpya labda nifanye kautafiti kama nitapata majibu..
 
Ni kweli kabisa kuna jamaa nilishakutana nae akawa analialia na akasema mbuzi ndo wamemsababisha
 
Huo ugonjwa unaitwa gout. U asababishwa na nyama yoyote nyekundu ikiliwa kwa wingi. Ilamara nyiki huathiri vidole hasa gumba na viwiko/vipepsi. Bia nayo huchangia.
 
NA HUYU ANAMADHARA GANI ?
upload_2017-9-22_15-45-24.jpeg





homemade-hot-pork-tenderloin-picture-id521415161


homemade-hot-pork-tenderloin-picture-id521415161
 
Hizo ni mbwembwe muugue maradhi yenu huko mje msingizie nyama ya mbuzi tena ngoja nifungashe vitendea kazi vyangu nirudi nyumbani nijongee pale siwa nikapate nyamachoma ya mbuzi na ugali wa mtama CASTLE LAGER THE PERFECT MOMENT kwa pembeni ikitiririsha jasho la ubariiiidi
 
Back
Top Bottom