CLES B
JF-Expert Member
- Jul 7, 2013
- 733
- 458
Gout haina uhusiano na goat.
Ila ina uhusiano na metabolism ya purines ambayo vyanzo vyake ni vyakula vyenye protini nyingi.
vina uhusiano kabisa,ila si nyama ya mbuzi pekee, vyakula kama samaki hasa tunaowala wakiwa na magamba mfano ni dagaa na hata ulevi wa pombe ni vitu vinavyoweza kuchochea "gout" (purine and pyrimidines are just a building blocks of protein),kwa kiasi kikubwa purine & pyrimidine zinapatikana kwa kiasi kikubwa kwenye nyama nyekundu & bidhaa zote za nyama nekundu "especially internal organs" kama vile maini na figo .Miss Chagga anachosema kina ukweli.