Albosignathus
JF-Expert Member
- Apr 26, 2013
- 4,886
- 1,038
Pole sana mkuu, najua maumivu unayopata, inatesa sana, ila hiyo ya mkojo wa kondoo, ni ngumu, sijui mtamtaim vp?
Asante mkuu! Achana naye kalewa wanzuki huyo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole sana mkuu, najua maumivu unayopata, inatesa sana, ila hiyo ya mkojo wa kondoo, ni ngumu, sijui mtamtaim vp?
Utakuwa na viroba kichwani we muhaya.
Acha ukabila kaka. Tunajenga taifa moja na lugha moja. istoshe mimi sio mutambuka marogo tena hao jamaa hawakubaliki kabisa ninakotokea
Kunywa lodwar n dawa ya kimasai ila utaipata umasaini c twn inasafisha kila ki2 mwilini n kuondoa sumu
Nitafute kwa wakati wako ninayo Dawa ya hayo maradhi ya Gout nitumie email baruwa ya pepe Email yangu hii hapa fewgoodman@hotmail.comWakuu mwenye dawa ya miti shamba ya gout anisaidie,sitajali ni wapi bora iwe ndani ya Tanzania nitakuja baada ya tarehe 15 mwezi huu wa nne.Natoa offer sh.laki mbili kwa mwenye dawa au yeyote atakaenipa ushirikiano kumpata mwenye dawa.Mguu wangu wa kushoto kwenye Ankle inaniuma sana.ila kama kuna mtu ana dawa na yuko Lushoto,Mombo,Muheza,korogwe ani PM nimuelekeze atanipata wapi hapa Lushoto.Asanteni.
Vipi mzima ndugu?
Mpka umasaini lazma uharishe mana ndio kutoa sumu huko ila unakunywa maziwa fresh.tatizo wamasai wa twn wanauza magome ya miti c dawa kma unaweza tafuta wamasai huko tanga au bagamoyo wale wafugaji ndio wanajua hii dawa
Mie nasumbuliwa sana na hili tatizo ila nyama siachi iwe nyekundu,nyeupe,njano,blue n.k
We kula hata ya nyeusi mkuu ila mimi nataka dawa.
Bwana harusi?
Msaada wakuu dawa ya gauti nimezunguka mahospitalini sijapona nikaenda kwa wamasai wizi mtupu. Msaada wako mkuu MziziMkavu
Allopurinol (check spelling)
Naomba ufafanuzi hapo kwa blue mamito, kabla sijaleta dhoruba kubwa kuliko mafuriko......shemeji nenda ITM hapo muhimbili kuna dawa tena za mitishamba ambazo zimekuwa researched na ni nzuri sana sana.
itapona kabla hata ya kumaliza dozi, ila tu unapoitumia lazima ujitahd kula manake kama ni mvivu wa kula itakusumbua kidogo.
ITM ni institute of traditional medicine, ingilia hili geti la shule sio la hospitali....... wewe ukifika tu pale reception muulizie mdada anaitwa Ester ni DR mwambie tatizo lako hakika litakwisha
Msaada wakuu dawa ya gauti nimezunguka mahospitalini sijapona nikaenda kwa wamasai wizi mtupu. Msaada wako mkuu MziziMkavu
shemeji nenda ITM hapo muhimbili kuna dawa tena za mitishamba ambazo zimekuwa researched na ni nzuri sana sana.