Ugonjwa wa Gauti(Gout): Chanzo, Dalili na Tiba yake

Mkuu sio nyama ya mbuzi tu,

Kuanzia nyama ya ng'ombe, kondoo, Nguruwe, mbuzi na hata Seafood ukizidisha saaana kula zinasababisha maumivu kwenye maungio (gout)

Mkuu kuna kitu kinaitwa "purines" kinapatikana kwa wingi kwenye nyama nilizozitaja hapo juu,.

Ukila nyama baada ya mmeng'enyo wa chakula (digestion) hizo purines inabadilishwa na kuwa uric acid au urate ambazo ni by products (waste products) ambapo inasafirishwa kwenye figo ili ikachujwe (Excretion).

Sasa hiyo uric acid ikizidi sana mwilini ndio inajirundika kwenye joints then inakuwa inaleta maumivu (gout)

Ndio maana gout pia huwasumbua sana watu wenye matatizo ya figo sababu figo zinakuwa hazichuji waste products kama uric acids na urea inavyotakiwa!

Na zaidi nyama za maini, mapafu, figo, moyo zina kiwango kikubwa cha purine!

NB: Nimekumbushia tu Biology ya form 3, ngoja wataalam zaidi wa magonjwa ya figo na board ya nyama waje wadadavue zaidi!
 
Ndugu wapendwa poleni na majukumu, nahitaji kufahamu kama ni kweli NYAMA YA MBUZI UKIITUMIA MARA KWA MARA HUNYONG'ONYEZA MAUNGIO YA MWILI (JOINTS) hasa MAGOTI.View attachment 593087
ni kweli mkuu hasa joint za miguu
unakuwa unakosa stamina ya kuchumaa kwa muda mrefu
au uwezi kukaa sana chini kwa muda ukiwa umekunja miguu bila kubadili mikao au ukikaa chini muda mrefu kuinuka joint zinauma mbaya unalalamika kama mzee au unaweza inuka lkn ukarudi chini tena kwa maumivu hata ukiwa KITANDANI stail zinazohitaji kunesanesa kwa sana zinakushinda kuperform kwa muda mrefu joint zinakaza mbaya mwisho unarudia tu kifo cha mende nk

but hizo ni 7bu za kula nyama mbuzi sana ila hayo mambo yanaweza sababishwa na mambo mengine pia kama kulala sana mchana hovyo kutopata usingizi wa kutosha usiku kutopenda kutokunywa maji sana (yaan unasubiri mpk upate kiu au umalize kura) au kutokula kula vyakura vyenye majimaji sana kupenda kucheza game za simu tv PC Ps n.k kwa muda mrefu
kupenda kuangalia MOVIE na kutumia TV LAPTOP simu huku ukiwa umelala mara kwa mara
bila kusahau kutofanya mazoezi ya viungo pia
 
NA HUYU ANAMADHARA GANI ?
View attachment 593505

homemade-hot-pork-tenderloin-picture-id521415161

Haha!!!..... Kilakitu wanasema kina madhara.....naona wao hawatoonja umauti
 
Huo ugonjwa unaitwa gout. U asababishwa na nyama yoyote nyekundu ikiliwa kwa wingi. Ilamara nyiki huathiri vidole hasa gumba na viwiko/vipepsi. Bia nayo huchangia.
Angalau nimepata idea kidogo,thanks red giant
 
Hizo ni mbwembwe muugue maradhi yenu huko mje msingizie nyama ya mbuzi tena ngoja nifungashe vitendea kazi vyangu nirudi nyumbani nijongee pale siwa nikapate nyamachoma ya mbuzi na ugali wa mtama CASTLE LAGER THE PERFECT MOMENT kwa pembeni ikitiririsha jasho la ubariiiidi
Hahaa umetisha
 
Mkuu sio nyama ya mbuzi tu,

Kuanzia nyama ya ng'ombe, kondoo, Nguruwe, mbuzi na hata Seafood ukizidisha saaana kula zinasababisha maumivu kwenye maungio (gout)

Mkuu kuna kitu kinaitwa "purines" kinapatikana kwa wingi kwenye nyama nilizozitaja hapo juu,.

Ukila nyama baada ya mmeng'enyo wa chakula (digestion) hizo purines inabadilishwa na kuwa uric acid au urate ambazo ni by products (waste products) ambapo inasafirishwa kwenye figo ili ikachujwe (Excretion).

Sasa hiyo uric acid ikizidi sana mwilini ndio inajirundika kwenye joints then inakuwa inaleta maumivu (gout)

Ndio maana gout pia huwasumbua sana watu wenye matatizo ya figo sababu figo zinakuwa hazichuji waste products kama uric acids na urea inavyotakiwa!

Na zaidi nyama za maini, mapafu, figo, moyo zina kiwango kikubwa cha purine!

NB: Nimekumbushia tu Biology ya form 3, ngoja wataalam zaidi wa magonjwa ya figo na board ya nyama waje wadadavue zaidi!
Thanks nakembetwa,maelezo yako yamenipa nilichokuwa nahitaji labda waje wengine kupngezea cos nilikuwa nahitaji facts za kisayansi kama hizo, thanks again
 
ni kweli mkuu hasa joint za miguu
unakuwa unakosa stamina ya kuchumaa kwa muda mrefu
au uwezi kukaa sana chini kwa muda ukiwa umekunja miguu bila kubadili mikao au ukikaa chini muda mrefu kuinuka joint zinauma mbaya unalalamika kama mzee au unaweza inuka lkn ukarudi chini tena kwa maumivu hata ukiwa KITANDANI stail zinazohitaji kunesanesa kwa sana zinakushinda kuperform kwa muda mrefu joint zinakaza mbaya mwisho unarudia tu kifo cha mende nk

but hizo ni 7bu za kula nyama mbuzi sana ila hayo mambo yanaweza sababishwa na mambo mengine pia kama kulala sana mchana hovyo kutopata usingizi wa kutosha usiku kutopenda kutokunywa maji sana (yaan unasubiri mpk upate kiu au umalize kura) au kutokula kula vyakura vyenye majimaji sana kupenda kucheza game za simu tv PC Ps n.k kwa muda mrefu
kupenda kuangalia MOVIE na kutumia TV LAPTOP simu huku ukiwa umelala mara kwa mara
bila kusahau kutofanya mazoezi ya viungo pia
Ninekusoma vizuri asante mkuu
 
Back
Top Bottom