Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
asante sana kwa kujali. Nikiendas dukani kweli hiyo wataijua. Common name ni ipi.Punguza maumivu na Diclopar yenye caffein ndani yake, acha Bia, acha nyama choma na uache kiuno
asante sana kwa kujali. Nikiendas dukani kweli hiyo wataijua. Common name ni ipi.
Nina mashaka na hilo la mwisho kama ataliweza..Punguza maumivu na Diclopar yenye caffein ndani yake, acha Bia, acha nyama choma na uache kiuno
Nitafanya kesho, hali mbaya sana. Nimeshikia kisawasawa. Levels zitakuwa juu maana nimekula nyama na bia kipindi kirefu bila tahadhali! Asante Sky kwa kujali. Karibu Bonde Tate pub!🙁🙁🙁🙁Retired pima damu wajue level ya creatinine
Nina mashaka na hilo la mwisho kama ataliweza..
Kiuno kina uhusiani kweli na production of uric acid! Nyama , bia kweli nilijisahau muda mrefu kwa vitu hivyo, they are rich in uric acid substrates. thanks a lot!Punguza maumivu na Diclopar yenye caffein ndani yake, acha Bia, acha nyama choma na uache kiuno
Maumivu niliyonayo sasa hivi unaweza kuomba upumzike uachane na shida hizi. It is terrible pain, ever on earthNdugu yangu kama Gout ilishakupata basi ni lazima utaacha mautundu, Gout inauma kama vile unachomwa sindano kwenye joint....acha kabisa
Nitafanya kesho, hali mbaya sana. Nimeshikia kisawasawa. Levels zitakuwa juu maana nimekula nyama na bia kipindi kirefu bila tahadhali! Asante Sky kwa kujali. Karibu Bonde Tate pub!🙁🙁🙁🙁
Perfect, nina clini ya moyo kila mwisho wa mwezi. kila kitu kiko vizuri, ni kuwa nilikuwa sijapina kidney/liver function tests. Nitafanya kesho.wewe hutapona kwani unapenda sana Pub, halafu nakushauri kapime afya including Cholesterol, EKG, Cardiography, CT Scan ya moyo, Creatinine na mazongezonge yote ya moyo
asante sana. Robb ngoja nimtume mtoto nowPole sana. Kuna dawa nitakutumia picha ukaitafute kwenye pharmacy. Ni ya kuchua na itakusaidia kuondosha maumivu!
=================================================
View attachment 807360
Yep! Aende kwenye pharmacy kubwa kubwa...asante sana. Robb ngoja nimtume mtoto now
Nitapunguza sana tena sana. Hii ni attack kama ta 5 katika maisha yangu. It is terrible, quite terrible!.........,......Wakati huo ndo umekaa mezani umezungukwa na washkaji mkipiga story mbili tatu castle light barrdiii zimeipendezesha meza huku mangi kibosho anakausha mguu wa mbele kwenye tanuru basi dunia utaiona kama yako yaani hakuna mwingine anayekufikia ila sasa ikija situation kama hii ndo utajua umuhimu wa kuacha hii kitu.
Pole sana mkuu japo sijawahi kuumwa ila nimeshawahi kukaa karibu na mtu mwenye tatizo hilo hivyo nayahisi maumivu unayoyasikia.ukipona hapa jaribu kupunguza hivi visababishi vya hii homa ili isikurudie tena.
asante sana. nakunywa at least 2 litres a day ndivyo walivyonishauri.Daah pole sana mkuu uric acid imezidi kipimo. Punguza vyakula vyenye mafuta mengi, fanya mazoezi, muhimu kunywa maji ya kutosha