Mkuu jaribu Mbeya ipo soko matola (hosp siikumbuki vizuri) kule naskia kuna daktari mzuri anasaidia ntaulizia ) japo aliyenisanua bado anajiangalia ndani ya huu mwaka atakavyoendelea japo alikuwa na hali mbaya kabla ya matibabu ila nilivyomuona baada ya matibabu nilishangaa alivyoimprove amerejea katika hali yake ya kawaida