Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole sana mkuu Domy. Uzazi una mitihani mingi sana.....Mungu atutie wazazi wote IMANI na FARAJA katika nyakati za majaribu katika familia zetu..AMEN.
Halafu Hawa watoto wetu wa hiki kizazi kipya unakuta hana heshima kwa mzazi wake. Inauma sana. :frusty:
Pole sana mkuu...mtoto anaendeleaje?
Pole ndugu.pamoja na dawa ulizopewa mtafute bingwa wa watoto amcheki mtoto toncilis na UTI hakikisha anamaliZa dozi ya dawa atakazokuwa amepewa.
pili endelea kumchunguza mwanao kama kuna madhara yaliyompata alipopatwa na hiyo degedege.
degedege ikitokea kama imechukua mda ubongo unakosa oksigen hivyo yaweza kuleta madhara kwa mtoto.
madhara hayo unayachunguza kwa kuwa karibu nae kumcheki kama inamrudia au anakuwa kama anazubaa kuliko kawaida yake.anakuwa na hasira kupita kawaida..
jitahidi kuwa na panadol(paracetamol) yumbani kila ukimuona mwanao ana joto mpe kirobo kila baada ya masaa 6 njia nyingine rahisi mwanao akiwa na homa mkande kwenye mapaja na taulo lenye maji ya vuguvugu au muogeshe ndo muwahishe kwa daktari.
usimpeleke kwenye dawa za mitishamba kama degedege litamrudia daktari atakupa phenobabiton ambayo atazitumia kila siku kwa muda wa miaka isiyopungua miwili hadi daktari atakapokuambia aache
Hapo sijakuelewa hata kidogo mkuu, tafadhali yushushie somo, maana mtoto kwangu mimi ndiyo kila kitu, i cant imagine mkuu, kuna wakati mtoto wangu alikuwa akisumbuliwa sana na aleji nilikuwa mpaka natoa chozi! Kaka Domy pole kaka, huo ndiyo ukubwa huo.
Pole sana ndugu mkubwa. Umenikumbushia tukio bsya sana
Pole sana;
Jitahidi kuzingatia ushauri wa madaktari ili isitokee tena.
Dawa ya kifafa
KIFAFA – KUPOOZA.Wanajamvi naomba msaada wenu kwa mtu yeyote anayefahamu dawa ya mtu mwenye kifafa, maana hali hii imenitokea ghafla kwa mara ya kwanza mwaka jana kwa kupoteza fahamu kwa muda usiozidi nusu saa. Nimejaribu kwenda hospitali na kufanya vipimo mbalimbali kama MRI na CT-Scan lakini vyote vinaonyesha nipo sawa.Nilipewa dawa na Prof.Matuje ,neurologist nikatumia kwa muda wa mwezi mzima lakini ile hali imeendelea kunitokea na mpaka hivi sasa ninavyoandika hali hiyo imenitokea jumamosi. Kwa sasa nipo above 29years old. NINAOMBA SANA MSAADA WENU WA USHAURI AU ANAYEJUA TIBA YA HIKI KIFAFA CHA UKUBWANI.NAPATA SHIDA SHANA NDUGU ZANGU.
Mkuu mzizimkavu nimekuemail kama ulivyoniagiza. Naona bado kimya.
Mkuu Nimesha kujibu muda mrefu angalia kwenye in box ya email yako.Mkuu mzizimkavu wapi wewe?
habari zenu wadau, huduma ya kwanza kwa mtu mwenye Ugonjwa wa Kifafa ni nini? pia Ugonjwa wa Kifafa unaambukizwa kwa njia zipi?
Tiba Ya Kifafa - Natural Home Remedies for Epilepsy
![]()
![]()
Epilepsy:
• Epilepsy is a brain disorder
• It leads to repeated seizures and convulsions
Symptoms to look for:
• Stiffening of muscles
• Mild or vigorous shaking of arms and legs
• Patient appears to be staring in some direction
• Accidental urination
• Unconsciousness
• Patient may cry or make noise
• Vomiting
• Drooling
• Memory loss
Causes:
• The brain sends electrical impulses which control muscle movements
• In epilepsy, excessive electrical impulses are sent out by the brain
• This leads to stiffening of the muscles which causes jerking reactions
• The seizure stops when the brain stops sending these impulses
Natural home remedy using ash gourd and liquorice powder:
1. Ash gourd is considered as one of the best remedies for seizures
2. Take 1 bowl of crushed ash gourd
3. Press it on a sieve and extract its juice
4. Add 3 tsp liquorice powder
5. Mix well
6. Drink once a day
Natural home remedy using milk and garlic:
1. Take 100 ml milk
2. Add 100 ml water
3. Pour in a vessel
4. Allow the mixture to boil for 10-15 min
5. Crush 4-5 garlic cloves
6. Press on a sieve and extract garlic juice
7. Add it to the milk mixture
8. Mix well
9. Drink once a day
Tips:
• A common myth is that during a seizure one may swallow his tongue,
however this is not true
• Avoid putting anything in the mouth of the patient during a seizure attack