Ugonjwa wa kifafa: Chanzo, Dalili, Huduma kwa Mgonjwa na Ushauri wa Matibabu

Ugonjwa wa kifafa: Chanzo, Dalili, Huduma kwa Mgonjwa na Ushauri wa Matibabu

Ok Asante kesho nitakwenda pharmacist
Pharmay kufanya nn ndg, mtoto kashagundulika ana kifafa. Tayar yupo kweny dose. Sasa sielew ww unachotak ni nn. Kifafa kiishe kabsa ama vp.

Kifafa huwa hakiishi kabsa. Hizo dawa inabid ameze maisha yake yote ili asipate episode za kifafa. Labd ungetupa history ya huyo mgonjwa ungepata ushaur mzur zaid. Hizo dawa anazotumia ni sahihi unless km hazimsaidii au anapata side effects.
 
Hivi kwa Arusha wapo sehemu gani
Pole sana mkuu. Zamani kwa kanda hii daktari bingwa wa hayo matatizo alikuwa Dr Ringo (alikuwa anatibu Mawenzi Regional Referral Hospital), ila bahati mbaya Dr Ringo alifariki mwaka jana. Kwa sasa kuna daktari kutoka Cuba ndiye bingwa wa magonjwa hayo, yuko Mawenzi Reg Referral Hospital pia.

Magonjwa ya kifafa na mengineyo hasa yanatibiwa na wataalamu wa magonjwa ya akili (Psychiatrist). Pia, unaweza kumpeleka KCMC. Kuna wataalamu wa magonjwa ya ubongo (Nurolojia), hasa Dr Howlett (wa watub wazima) au Dr Mariekke (wa watoto). Wako vizuri.

Kati ya hao zaidi ningekushauri Dr Howlett au Dr Mariekke kwani wana uzoefu hasa kwa hapa kwetu ingawa ni wazungu.
 
Pia, ningekushauri umpeleke hospitali na SI kumtibu kwa dawa za kununua Pharmacy. Phenorbabitone ni dawa nzuri, ila ikitokea mtoto akaendelea kupata kifafa, basi dozi haitoshi au anahitaji kuongezewa dawa ya pili. Ukimpeleka hospitali inakwa rahisi kufanya follow up. Pia, atafanyiwa vipimo kuona ikiwa hasa kuna tatizo linalosababisha huko kuanguka au la (iyumkini, uvimbe kichwani) na waweze kumtibu. Dawa hizo HAZITIBU, zinazuia tu kifafa au kupunguza attacks, lakini kama kifafa chake kinasababishwa na tatizo fulani linalotibika, labda kwenye ubongi wake, basi akienda hospitali itajulikana na anaweza akapona kabisa. MPELEKE hospitali mkuu, hasa KCMC kwa kanda hii ya huko (Kilimanjaro, Arusha etc).
 
Pharmay kufanya nn ndg...mtoto kashagundulika ana kifafa.tyar yupo kweny dose. Sasa sielew ww unachotak ni nn. Kifafa kiishe kabisa ama vp.
Kifafa huwa hakiishi kabsa. Hizo dawa inabid ameze maisha yake yote ili asipate episode za kifafa.
Labd ungetupa history ya huyo mgonjwa ungepata ushaur mzur zaid....hizo dawa anazotumia ni sahihi unless km hazimsaidii au anapat side effects[/
Pharmay kufanya nn ndg...mtoto kashagundulika ana kifafa...tyar yupo kweny dose....sasa sielew ww unachotak ni nn....kifafa kiishe kabsa ama vp.
Kifafa huwa hakiishi kabsa. Hizo dawa inabid ameze maisha yake yote ili asipate episode za kifafa.
Labd ungetupa history ya huyo mgonjwa ungepata ushaur mzur zaid. Hizo dawa anazotumia ni sahihi unless km hazimsaidii au anapat side effects
Pharmay kufanya nn ndg. Mtoto kashagundulika ana kifafa...tyar yupo kweny dose....sasa sielew ww unachotak ni nn....kifafa kiishe kabsa ama vp.
Kifafa huwa hakiishi kabsa....hizo dawa inabid ameze maisha yake yote ili asipate episode za kifafa..
Labd ungetupa history ya huyo mgonjwa ungepata ushaur mzur zaid. Hizo dawa anazotumia ni sahihi unless km hazimsaidii au anapat side effects

QUOTE]
Pia, ningekushauri umpeleke hospitali na SI kumtibu kwa dawa za kununua Pharmacy. Phenorbabitone ni dawa nzuri, ila ikitokea mtoto akaendelea kupata kifafa, basi dozi haitoshi au anahitaji kuongezewa dawa ya pili. Ukimpeleka hospitali inakwa rahisi kufanya follow up. Pia, atafanyiwa vipimo kuona ikiwa hasa kuna tatizo linalosababisha huko kuanguka au la (iyumkini, uvimbe kichwani) na waweze kumtibu. Dawa hizo HAZITIBU, zinazuia tu kifafa au kupunguza attacks, lakini kama kifafa chake kinasababishwa na tatizo fulani linalotibika, labda kwenye ubongi wake, basi akienda hospitali itajulikana na anaweza akapona kabisa. MPELEKE hospitali mkuu, hasa KCMC kwa kanda hii ya huko (Kilimanjaro, Arusha etc).
Asante kamanda kwa ushauri wako jmatatu nitaelekea kcmc nashukuru Sana hivi wanaweza kumpokea bila barua ya kutoka hospital ya mkoa
 
Asante kamanda kwa ushauri wako jmatatu nitaelekea kcmc nashukuru Sana hivi wanaweza kumpokea bila barua ya kutoka hospital ya mkoa
Usihofu mkuu! Nadhani inawezekana, ingawa ni vema zaidi ukienda na barua ya referral.
 
Nauinua huu Uzi kwa sababu hapa nipo AICC Hospital namuangalia binti yangu amelala sasa. Huku naangalia hali yake.

Jana alianza kuharisha mchana tukaona kuna jino linajitokeza. Tukasema hii ni homa ya kuota meno. Usiku alipandisha joto sana tukampa paracetamol robo (bado wiki atimize mwaka).

Leo jioni baada ya kunywa uji kaanza kusizi haeleweki ghafla katapika sana na joto jingi. Mamake alikuwa kampatia dawa fulani hivi.

Ghafla nikashangaa anaangalia upande mmoja huku anasugua meno. Nikadhani labda fizi zinawasha. Ghafla kaanza kukakamaa ikabidi nimvue nguo na kuanza kutoka nje kutafuta usafiri.

Namshukuru Mungu tumepata usafiri hadi hapa hospital. Amekutwa na nyuzi joto 37.8°C. kuna sindano wamemchoma na amelala sasa. Tunasubiria kumpeleka St. Elizabeth Hospital kwa vipimo zaidi.
 
Za leo ndugu zangu.

Kuna ndugu yangu anaokewa na hii hali anabana meno anajisaga shingo inanyooka anakunja ngumi anatapatapa kama mtu anaekata roho na kutoa macho ila inamtokea usingizini kwa muda wa dk 2 hadi 5 je, huu utakuwa ugonjwa gani unaweza kua kifafa? Wengi nimewauliza wanasema kifafa hakiji usingizini pia hanaga huu ugonjwa. Uyu dada ana miaka 38 sasa ndio anapata hili tatizo, pia kwa siku humludia hadi mala 4 akiwa kwenye usingizi mzito na ikimuachia hiyo hali anaendelea kulala hajui kilichotokea.

Hosp tumempeleka Dr. anasema ni Stress ila ukimuuliza una anakataa anasema hana stress.
 
Mapepo tu hayo mpeleke akaombewe aumpeleke kwa /sheikh majini akasomewe kisomo
 
Mkuu Machuchu pole kwa kuuguza. Kwa kifupi ni kuwa, ndugu yako hajarogwa. Nitashea uzoefu kwa kuwa nina mgonjwa wa tatizo kama hilo kwa miaka mingi.

Hilo ni tatizo la mfumo wa fahamu, linaitwa Epilepsy. Huanza taratibu ambapo mgonjwa hushikwa mara 1 kwa mwaka, baadae mara mbili, inafuata kila mwezi, wiki hadi kufikia kila siku tena hadi mara 4 kwa siku.

Tatizo hili halimtokei mgonjwa akiwa macho, lazima awe usingizini. Na hata kama hajalala, lilitaka kutokea, mgonjwa atakuwa mzito sana hadi usingizi utampitia then atapatwa.

Anapigwa na shoti kali sana mwili mzima (tokea kwenye ubongo), anauma ulimi, anatoa povu mdomoni na kukunja mikono. Baada ya hapo, mgonjwa huwa hakumbuki lolote lililotokea.

Siku zote zinazofuata baada ya kutokewa na hali hii, mgonjwa huwa dhaifu sana na anaweza kaa siku mbili hadi tatu na tatizo la kusahau sahau. Anaweza kwenda mahali na akasahau kilichompeleka huko. Ukimuachia maagizo hakumbuki.

Matibabu: aende haraka kumuona Daktari bingwa wa mfumo wa fahamu, atapimwa na kuna dawa atapewa za kutuliza na kuponya hiyo hali. Akizingatia dawa hali hii itapungua taratibu mwishoe itaisha. Dawa sitokutajia hapa coz ni vyema akaenda kwa Dr ili apimwe na amuandikie dawa kadili atakavyoona inafaa. Nikikutajia dawa, humtoenda Hosp.

Pia, kumbuka kumsaidia mgonjwa kwa kumuwekea kijiko mdomoni kutenganisha ulimi na meno pindi apatapo hali hiyo ili asitafune ulimi.

NB: Tatizo likiwa kubwa sana mgonjwa hutakiwa kufanyiwa operation.
 
Sawa nimekuelewa asanate kwa ushauli wako.

Ila huyu wangu hatoki povu kabisaaaaa, na unavyosema kuwa dhaifu ni kweli kawa dhaifu sana kanyongea mno unaweza msahau kabisaaaaaa. Ila ameshapata matibabu anaendelea na dawa ila anasema zinamchosha sana na anameza usiku tu. Na swala la kumuwekea kitu kuzuia asing'ate ulimi mimi huwa namuwekeaga chochote ata nguo ili mlad asing'ate ulimi hii hali inatisha sana kama huna moyo unaweza kukimbia na kumuacha.

Nashukulu anasnte sana.
 
Za leo ndugu zangu.

Kuna ndugu yangu anaokewa na hii hali anabana meno anajisaga shingo inanyooka anakunja ngumi anatapatapa kama mtu anaekata roho na kutoa macho ila inamtokea usingizini kwa muda wa dk 2 hadi 5 je, huu utakuwa ugonjwa gani unaweza kua kifafa?? Wengi nimewauliza wanasema kifafa hakiji usingizini pia hanaga huu ugonjwa. Uyu dada ana miaka 38 sasa ndio anapata hili tatizo, pia kwa siku humludia hadi mala 4 akiwa kwenye usingizi mzito na ikimuachia hiyo hali anaendelea kulala hajui kilichotokea.

Hosp tumempeleka Dr. anasema ni Stress ila ukimuuliza una anakataa anasema hana stress.

Nao walipoufikia mkutano, mtu mmoja akamjia, akampigia magoti akisema.
Bwana, umrehemu mwanangu, kwa kuwa ana kifafa, na kuteswa vibaya; maana mara nyingi huanguka motoni, na mara nyingi majini.

Yesu akamkemea pepo, naye akamtoka; yule kijana akapona tangu saa ile.

Mathayo 17:14-15;18.

Taarifa yako inalingana sana na hili lililomkuta Yesu akiwa duniani. Mtu alikuja na mgonjwa wake akiwa na matatizo kama ya ndugu yako.

Yesu alifahamu chanzo cha tatizo, na hiyo ndio tofauti kati ya daktari wako na Yesu. Chanzo chake alikuwa ni kiumbe wa kiroho ambaye haonekani kwa macho ya kibinadamu anayeitwa pepo (shetani).

Yesu alipomkemea akatoka na kijana akapona.

Kumbe matatizo mengi ya kimwili vyanzo vyake ni vya rohoni, kuna viumbe wa rohoni wanasababisha matatizo ya kimwili, na pindi wanaposhughulikiwa mtu anakuwa mzima.

Ushauri wangu, mpeleke ndugu yako kwa watu wa kiroho (sio waganga wa kienyeji) ili wakemee mapepo na ndugu yako awe mzima. Usipoteze muda tafadhali.
 
Za leo ndugu zangu.

Kuna ndugu yangu anaokewa na hii hali anabana meno anajisaga shingo inanyooka anakunja ngumi anatapatapa kama mtu anaekata roho na kutoa macho ila inamtokea usingizini kwa muda wa dk 2 hadi 5 je, huu utakuwa ugonjwa gani unaweza kua kifafa?? Wengi nimewauliza wanasema kifafa hakiji usingizini pia hanaga huu ugonjwa. Uyu dada ana miaka 38 sasa ndio anapata hili tatizo, pia kwa siku humludia hadi mala 4 akiwa kwenye usingizi mzito na ikimuachia hiyo hali anaendelea kulala hajui kilichotokea.

Hosp tumempeleka Dr. anasema ni Stress ila ukimuuliza una anakataa anasema hana stress.
Ila kwa heshima tu na taadhima naomba hiyo avatar uitoe, unaweza usipate matokeo mazuri kwa ndugu yako kwa sababu ya mambo kama hayo.

I am a spiritual man, I know what I am talking about
 
Sawa nimekuelewa asanate kwa ushauli wako.

Ila huyu wangu hatoki povu kabisaaaaa, na unavyosema kuwa dhaifu ni kweli kawa dhaifu sana kanyongea mno unaweza msahau kabisaaaaaa. Ila ameshapata matibabu anaendelea na dawa ila anasema zinamchosha sana na anameza usiku tu. Na swala la kumuwekea kitu kuzuia asing'ate ulimi mimi huwa namuwekeaga chochote ata nguo ili mlad asing'ate ulimi hii hali inatisha sana kama huna moyo unaweza kukimbia na kumuacha. Nashukulu anasnte sana.
Kwanza kifafa siyo lazima utoke povu na si kweli kifafa hakitokei usingizini. Kifafa/epilepsy kipo cha namna nyingi sana.
 
Back
Top Bottom