koban
JF-Expert Member
- Oct 29, 2015
- 249
- 98
Ok Asante kesho nitakwenda pharmacistHizi nazo ni dawa za
Kifafa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ok Asante kesho nitakwenda pharmacistHizi nazo ni dawa za
Kifafa
Asante Sana jamaniNi dawa mkuu zinanywewa baada ya chakula
Pharmay kufanya nn ndg, mtoto kashagundulika ana kifafa. Tayar yupo kweny dose. Sasa sielew ww unachotak ni nn. Kifafa kiishe kabsa ama vp.Ok Asante kesho nitakwenda pharmacist
Pole sana mkuu. Zamani kwa kanda hii daktari bingwa wa hayo matatizo alikuwa Dr Ringo (alikuwa anatibu Mawenzi Regional Referral Hospital), ila bahati mbaya Dr Ringo alifariki mwaka jana. Kwa sasa kuna daktari kutoka Cuba ndiye bingwa wa magonjwa hayo, yuko Mawenzi Reg Referral Hospital pia.Hivi kwa Arusha wapo sehemu gani
Pharmay kufanya nn ndg...mtoto kashagundulika ana kifafa.tyar yupo kweny dose. Sasa sielew ww unachotak ni nn. Kifafa kiishe kabisa ama vp.
Kifafa huwa hakiishi kabsa. Hizo dawa inabid ameze maisha yake yote ili asipate episode za kifafa.
Labd ungetupa history ya huyo mgonjwa ungepata ushaur mzur zaid....hizo dawa anazotumia ni sahihi unless km hazimsaidii au anapat side effects[/
Pharmay kufanya nn ndg...mtoto kashagundulika ana kifafa...tyar yupo kweny dose....sasa sielew ww unachotak ni nn....kifafa kiishe kabsa ama vp.
Kifafa huwa hakiishi kabsa. Hizo dawa inabid ameze maisha yake yote ili asipate episode za kifafa.
Labd ungetupa history ya huyo mgonjwa ungepata ushaur mzur zaid. Hizo dawa anazotumia ni sahihi unless km hazimsaidii au anapat side effectsPharmay kufanya nn ndg. Mtoto kashagundulika ana kifafa...tyar yupo kweny dose....sasa sielew ww unachotak ni nn....kifafa kiishe kabsa ama vp.
Kifafa huwa hakiishi kabsa....hizo dawa inabid ameze maisha yake yote ili asipate episode za kifafa..
Labd ungetupa history ya huyo mgonjwa ungepata ushaur mzur zaid. Hizo dawa anazotumia ni sahihi unless km hazimsaidii au anapat side effects
QUOTE]
Asante kamanda kwa ushauri wako jmatatu nitaelekea kcmc nashukuru Sana hivi wanaweza kumpokea bila barua ya kutoka hospital ya mkoaPia, ningekushauri umpeleke hospitali na SI kumtibu kwa dawa za kununua Pharmacy. Phenorbabitone ni dawa nzuri, ila ikitokea mtoto akaendelea kupata kifafa, basi dozi haitoshi au anahitaji kuongezewa dawa ya pili. Ukimpeleka hospitali inakwa rahisi kufanya follow up. Pia, atafanyiwa vipimo kuona ikiwa hasa kuna tatizo linalosababisha huko kuanguka au la (iyumkini, uvimbe kichwani) na waweze kumtibu. Dawa hizo HAZITIBU, zinazuia tu kifafa au kupunguza attacks, lakini kama kifafa chake kinasababishwa na tatizo fulani linalotibika, labda kwenye ubongi wake, basi akienda hospitali itajulikana na anaweza akapona kabisa. MPELEKE hospitali mkuu, hasa KCMC kwa kanda hii ya huko (Kilimanjaro, Arusha etc).
Usihofu mkuu! Nadhani inawezekana, ingawa ni vema zaidi ukienda na barua ya referral.Asante kamanda kwa ushauri wako jmatatu nitaelekea kcmc nashukuru Sana hivi wanaweza kumpokea bila barua ya kutoka hospital ya mkoa
Sawa nimekuelewa asanate kwa ushauli wako.Mkuu Machuchu pole kwa kuuguza. Kwa kifupi ni kuwa, ndugu yako hajarogwa. Nitashea uzoefu kwa kuwa nina mgonjwa wa tatizo kama hilo kwa miaka mingi.
Hilo ni tatizo la mfumo wa fahamu, linaitwa Epilepsy. Huanza taratibu ambapo mgonjwa hushikwa mara 1 kwa mwaka, baadae mara mbili, inafuata kila mwezi, wiki hadi kufikia kila siku tena hadi mara 4 kwa siku.
Tatizo hili halimtokei mgonjwa akiwa macho, lazima awe usingizini. Na hata kama hajalala, lilitaka kutokea, mgonjwa atakuwa mzito sana hadi usingizi utampitia then atapatwa.
Anapigwa na shoti kali sana mwili mzima (tokea kwenye ubongo), anauma ulimi, anatoa povu mdomoni na kukunja mikono. Baada ya hapo, mgonjwa huwa hakumbuki lolote lililotokea.
Siku zote zinazofuata baada ya kutokewa na hali hii, mgonjwa huwa dhaifu sana na anaweza kaa siku mbili hadi tatu na tatizo la kusahau sahau. Anaweza kwenda mahali na akasahau kilichompeleka huko. Ukimuachia maagizo hakumbuki.
Matibabu: aende haraka kumuona Daktari bingwa wa mfumo wa fahamu, atapimwa na kuna dawa atapewa za kutuliza na kuponya hiyo hali. Akizingatia dawa hali hii itapungua taratibu mwishoe itaisha. Dawa sitokutajia hapa coz ni vyema akaenda kwa Dr ili apimwe na amuandikie dawa kadili atakavyoona inafaa. Nikikutajia dawa, humtoenda Hosp.
Pia, kumbuka kumsaidia mgonjwa kwa kumuwekea kijiko mdomoni kutenganisha ulimi na meno pindi apatapo hali hiyo ili asitafune ulimi.
NB: Tatizo likiwa kubwa sana mgonjwa hutakiwa kufanyiwa operation.
Za leo ndugu zangu.
Kuna ndugu yangu anaokewa na hii hali anabana meno anajisaga shingo inanyooka anakunja ngumi anatapatapa kama mtu anaekata roho na kutoa macho ila inamtokea usingizini kwa muda wa dk 2 hadi 5 je, huu utakuwa ugonjwa gani unaweza kua kifafa?? Wengi nimewauliza wanasema kifafa hakiji usingizini pia hanaga huu ugonjwa. Uyu dada ana miaka 38 sasa ndio anapata hili tatizo, pia kwa siku humludia hadi mala 4 akiwa kwenye usingizi mzito na ikimuachia hiyo hali anaendelea kulala hajui kilichotokea.
Hosp tumempeleka Dr. anasema ni Stress ila ukimuuliza una anakataa anasema hana stress.
Ila kwa heshima tu na taadhima naomba hiyo avatar uitoe, unaweza usipate matokeo mazuri kwa ndugu yako kwa sababu ya mambo kama hayo.Za leo ndugu zangu.
Kuna ndugu yangu anaokewa na hii hali anabana meno anajisaga shingo inanyooka anakunja ngumi anatapatapa kama mtu anaekata roho na kutoa macho ila inamtokea usingizini kwa muda wa dk 2 hadi 5 je, huu utakuwa ugonjwa gani unaweza kua kifafa?? Wengi nimewauliza wanasema kifafa hakiji usingizini pia hanaga huu ugonjwa. Uyu dada ana miaka 38 sasa ndio anapata hili tatizo, pia kwa siku humludia hadi mala 4 akiwa kwenye usingizi mzito na ikimuachia hiyo hali anaendelea kulala hajui kilichotokea.
Hosp tumempeleka Dr. anasema ni Stress ila ukimuuliza una anakataa anasema hana stress.
Kwanza kifafa siyo lazima utoke povu na si kweli kifafa hakitokei usingizini. Kifafa/epilepsy kipo cha namna nyingi sana.Sawa nimekuelewa asanate kwa ushauli wako.
Ila huyu wangu hatoki povu kabisaaaaa, na unavyosema kuwa dhaifu ni kweli kawa dhaifu sana kanyongea mno unaweza msahau kabisaaaaaa. Ila ameshapata matibabu anaendelea na dawa ila anasema zinamchosha sana na anameza usiku tu. Na swala la kumuwekea kitu kuzuia asing'ate ulimi mimi huwa namuwekeaga chochote ata nguo ili mlad asing'ate ulimi hii hali inatisha sana kama huna moyo unaweza kukimbia na kumuacha. Nashukulu anasnte sana.