King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Umofia kwenu wana JF,
Heri ya mwaka mpya bonna annee happy nu year, kwanza niwape pole familia zilizoondokewa na wapendwa wao, ukiacha ngada na ajali basi kifua na moyo ni magonjwa yanayoongoza kuua wasanii wetu hapa nchini, wasanii waliotutoka chanzo kikiwa hayo magonjwa ni YP, Sherry Magali, Aston Villa, Mr Ebbo, Rukia bruno!
Ugonjwa wa kifua unasababishwa na matumizi ya kupitiliza ya pombe kali, sigara na vitu vinavyofanana na hivyo. Tunaomba wasanii muache kutumia hayo mambo msije wote mkateketea kwa kifua.
Nawasilisha.