King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
- Thread starter
- #61
Ukisikia tu mapafu sijui nini ujue ndio walewale!!
Kiungo wa Zamani wa Simba Christopher Alex Massawe nae yupo kwenye Mkondo. Watu au Jamii haiambiwi ukweli ndio maana wanapukutika kila siku.
Uganda iliwasaidia sana kwa kuweka wazi chanzo cha kifo.