Ugonjwa wa kifua na Moyo waongoza kuua wasanii wetu

Tuache kumung'unya maneno

HAWA WASANII WETU HAWA WANAKUFA KWA

UKIMWI HAKUNA CHA KIFUA WALA NINI

NA WENGINE WENGI TAYARI WASHAAUKWAA

NINAO WAFAHAMU NI WATATU AMBAO WALITAMBA

ZAMANI

Ukisikia tu mapafu sijui nini ujue ndio walewale!!
Kiungo wa Zamani wa Simba Christopher Alex Massawe nae yupo kwenye Mkondo. Watu au Jamii haiambiwi ukweli ndio maana wanapukutika kila siku.
 
Umejuaje? Walijitangaza?
 
Watu wanaogopa kujitangaza sababu Jamii itawanyanyapaa. Ila amini hilo kua ugonjwa wa Mapafu, Kifua ni Yale Yale tu, ndio ukimwi wenyewe huo.

Kwanza Ukimwi sio aina moja ya ugonjwa, Bali ni kisababishi cha magonjwa mengine nyemelezi.

Duuuu kumbe ndio hivyo.
 
Ukisikia tu mapafu sijui nini ujue ndio walewale!!
Kiungo wa Zamani wa Simba Christopher Alex Massawe nae yupo kwenye Mkondo. Watu au Jamii haiambiwi ukweli ndio maana wanapukutika kila siku.

Nashangaa Bongo bado tunaficha ukweli...

HUU UGONJWA SAHIZI NI WA KILA MTU HAUNA

MWENYEWE

MTU AMEKUFA NA UKIMWI ETI MNASINGIZIA KIFUA

KWA SABABU TU NI MSANII

SEMENI KWELI JAMII IJIFUNZE
 
Haha mi mabinti sio zangu kabisaa, nna baby wangu anatosha nampenda kama nini sijui, ni mzuri dunia nzima.

Hivyo vitu ndio vimenisumbua nna timiza miaka sijagusa kwa jamaa zangu wanahisi ni maajabu.

Acha tu Mkuu alikua mcha mungu na hakuwai kuihasi dini lakn alikufa kwa ngoma. Kuna lile tangazo la kibonde kdg limentoka
 
Tuache kumung'unya maneno

HAWA WASANII WETU HAWA WANAKUFA KWA

UKIMWI HAKUNA CHA KIFUA WALA NINI

NA WENGINE WENGI TAYARI WASHAAUKWAA

NINAO WAFAHAMU NI WATATU AMBAO WALITAMBA

ZAMANI

Kweli tuache kumung'unya maneno uko sahihi, mkuu ebu tutajie hao watatu ili tusimung'unye mung'unye maneno leo.
 
Ukisikia tu mapafu sijui nini ujue ndio walewale!!
Kiungo wa Zamani wa Simba Christopher Alex Massawe nae yupo kwenye Mkondo. Watu au Jamii haiambiwi ukweli ndio maana wanapukutika kila siku.

[h=2]TB INAMMALIZA CHRISTOPHER ALEX[/h] Na Hans Mloli

KIUNGO wa zamani wa Simba, Christopher Alex Massawe amechoka kiafya kwa sasa kutokana na matatizo na Ugonjwa ya Kifua Kikuu (TB).

Massawe ambaye aliwahi kutamba na kikosi cha Simba iliyokuwa tishio mwaka 2003 ambayo iliitoa Zamalek ya Misri katika Ligi ya Mabingwa Afrika, kwa sasa yupo mkoani Dodoma nyumbani kwa mama yake mzazi akiendelea kujiuguza.
Akizungumza na Championi Ijumaa kwa njia ya simu, Massawe alisema kuwa muda mrefu amekuwa akisumbuliwa na matatizo ya kukohoa na ndipo kaamua kurudi kwa mama yake kwa ajili ya vipimo zaidi vilivyoibua ugonjwa huo ambao tayari ameshaanza kujitibu kwa kumeza dawa husika.

"Naumwa sana sasa hivi mjomba, nasumbuliwa mno na TB na ndiyo inayonimaliza, pamoja na kupata matibabu lakini bado nahitaji msaada hali yangu ni tete mno," alizungumza Massawe kwa taabu.Massawe ametoa ruhusa kwa gazeti hili kuwa kwa yeyote ambaye anahitaji kumsaidia au kuwasiliana naye amtafute kupitia namba 0712 341179.

Simba na wadau wa soka kwa ujumla namba yake ya simu hiyo hapo tumsaidieni.
 
[h=2]TB INAMMALIZA CHRISTOPHER ALEX[/h] Na Hans Mloli

KIUNGO wa zamani wa Simba, Christopher Alex Massawe amechoka kiafya kwa sasa kutokana na matatizo na Ugonjwa ya Kifua Kikuu (TB).

Massawe ambaye aliwahi kutamba na kikosi cha Simba iliyokuwa tishio mwaka 2003 ambayo iliitoa Zamalek ya Misri katika Ligi ya Mabingwa Afrika, kwa sasa yupo mkoani Dodoma nyumbani kwa mama yake mzazi akiendelea kujiuguza.
Akizungumza na Championi Ijumaa kwa njia ya simu, Massawe alisema kuwa muda mrefu amekuwa akisumbuliwa na matatizo ya kukohoa na ndipo kaamua kurudi kwa mama yake kwa ajili ya vipimo zaidi vilivyoibua ugonjwa huo ambao tayari ameshaanza kujitibu kwa kumeza dawa husika.

“Naumwa sana sasa hivi mjomba, nasumbuliwa mno na TB na ndiyo inayonimaliza, pamoja na kupata matibabu lakini bado nahitaji msaada hali yangu ni tete mno,” alizungumza Massawe kwa taabu.Massawe ametoa ruhusa kwa gazeti hili kuwa kwa yeyote ambaye anahitaji kumsaidia au kuwasiliana naye amtafute kupitia namba 0712 341179.

Simba na wadau wa soka kwa ujumla namba yake ya simu hiyo hapo tumsaidieni.

Kaomba msaada wa matibabu

LAKINI AKIFA HAPO ANGALIA WATU WATAKAVYOTOA

MICHANGO

UNAFKI MWINGI
 
Sijawahi sikia msanii kafa kwa UKIMWI japo UKIMWI upo.
 
Ukisikia tu mapafu sijui nini ujue ndio walewale!!
Kiungo wa Zamani wa Simba Christopher Alex Massawe nae yupo kwenye Mkondo. Watu au Jamii haiambiwi ukweli ndio maana wanapukutika kila siku.

Mkuu ebu funguka zaidi,maana jamaa naye kifua kimemuondoa leo.
 
R. I. P Christopher Alex Massawe, Bwana Alitoa, Bwana Ametwaa.

Mkuu Amalinze huyu jamaa ameumwa sana kifua, jiulize mtu ambae labda havuti sigara Wala haishi maeneo ya Baridi anaugua vipi kifua.

Hapa Mkuu ni ugonjwa wetu ule ule tu!!
 
Last edited by a moderator:

We nawe umeambiwa wagonjwa wote wa kifua ni sigara na baridi!??
 
Last edited by a moderator:
Watu wanaogopa kujitangaza sababu Jamii itawanyanyapaa. Ila amini hilo kua ugonjwa wa Mapafu, Kifua ni Yale Yale tu, ndio ukimwi wenyewe huo.

Kwanza Ukimwi sio aina moja ya ugonjwa, Bali ni kisababishi cha magonjwa mengine nyemelezi.

Je, hakuna mtu ambae anaumwa mapafu na hana HIV+? Na je TB ya kawaida haipo kabisa? Yawezekana HIV ikawa ni chanzo lakini pia magonjwa hayo mengine yalikuwepo na yataendelea kuwepo hata kama AIDS itatoweka ulimwenguni.
 
Back
Top Bottom