King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Hivi kwanini kifua ndio kinaongoza kuua wasanii wetu? Kuna haja ya wadau wa mziki kuwapa semina elekezi inawezekana zile mic wanazozitumia zinaeneza au muda mwingi wanakuwa wanatoa show club au wanatumia pumzi nyingi kwa stage hivyo kuathiri mfumo wa upumuaji na kusababisha TB.

kinaitwa kifua special kifua hiki kinaambukizwa kwa njia ya kujamiiana
Bado nipo na doziHivi wewe ulishaponaga?
Hivi kwanini kifua ndio kinaongoza kuua wasanii wetu? Kuna haja ya wadau wa mziki kuwapa semina elekezi inawezekana zile mic wanazozitumia zinaeneza au muda mwingi wanakuwa wanatoa show club au wanatumia pumzi nyingi kwa stage hivyo kuathiri mfumo wa upumuaji na kusababisha TB.
.......kifua kikuu cha ukimwi,inasikitisha sana.
Tunatakiwa kuishi hadi miaka 70+, ila kwa kuwa uovu umezidi sana ndio maana kifo kinakuja mapema.
Kwa mara ya kwanza umeongea ka kitu hivi kenye akili.
Kidooogo nimeganda hapa kurudia kusoma.
Wew kaka nakupenda unawazaga tofauti sana
Kwa hiyo ndiyo tatizo la mc na kutumia pumzi nyingi kwenye stage? na je wasanii wa nchi nyingine kwani wao hawatumii pumzi nyingi wawapo kwenye majukwaa na pia hawatumii mc? Mbona hatusikii vifo vyao vikitokea kama hapa kwetu!