Ugonjwa wa kiharusi/ kupooza (stroke): Kinga, tiba na jinsi ya kukabiliana na maradhi haya

Bro nauguz ata kuandk najikZ hope nimeleweka.
Kweli?
Kwamba kuandika huku una majonzi ndio sababu ya kukosea kosea maandishi?

Unashindwa kuandika "nauguza"?
Unashindwa kuandika "kuandika"?
Unashindwa kuandika "najikaza"?
 
mkuu hiyo kitu haiponi kama malara au tumbo la kuhara.
inachukua muda ,hadi miaka
kuwa mtulivu
 
Kweli?
Kwamba kuandika huku una majonzi ndio sababu ya kukosea kosea maandishi?

Unashindwa kuandika "nauguza"?
Unashindwa kuandika "kuandika"?
Unashindwa kuandika "najikaza"?
Ulimlipia ada ya shule? Why such an effort
 
Kweli?
Kwamba kuandika huku una majonzi ndio sababu ya kukosea kosea maandishi?

Unashindwa kuandika "nauguza"?
Unashindwa kuandika "kuandika"?
Unashindwa kuandika "najikaza"?
Acha umbeya kikubwa umeelewa Uzi wa mleta mada mwenzako anauguliwa so yuko panic mode, jifunze kuacha mengine yakupite na kujaribu kuvaa viatu vya watu wengine
 
Acha umbeya kikubwa umeelewa Uzi wa mleta mada mwenzako anauguliwa so yuko panic mode, jifunze kuacha mengine yakupite na kujaribu kuvaa viatu vya watu wengine
Nenda kanye utawaze.
 
Mkuu cha msingi hapo ni kukocontrol hiyo presha kama anayo na kumpa matunda na mboga mboga ila cha msingi kabisa muanzishe Mazoezi madogo madogo mapema sana ndio ata recover haraka
 
Kwanini usianze wewe, hujui hata umuhimu wa hii forum. Ningekuwa mods ungekula ban ili akili ikukae sawa
Achana nae labda ana tatizo la kukosa nguvu za kiume nasikia huwa na hasira hovyo hovyo na kuropoka hata vitu ambavyo havijana haja.
 
Namba zot
e hizi napiga lakini wanaozipokea nao wananishangaa kuulizia tiba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…