Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,926
- 95,626
Mambo haya hunitisha sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli?Bro nauguz ata kuandk najikZ hope nimeleweka.
mkuu hiyo kitu haiponi kama malara au tumbo la kuhara.Habari wanaJF, naomba ushauri na maelekezo kidogo kuhusu hiyo hali imemkuta baba
Amepata stroke upande wa kulia tangu Jumamosi na amewahi hospitali hadi sasa wame-control BP lakini hawampi mazoezi japo stroke yenyewe imempiga mkono wa kulia na mguu kukaa hadi akalishwe, mguu wake na mkono wake bado unahisi kwa kiasi ambako anaweza kukunja mguu na kumtingsha mkono na akiguswa anasikia
Naomba ushauri nifanye nini zaidi ile aweze kurudi katika hali yake
Hatua niliyowaza kumuhamisha hospitali kumpeleka hospitali yenye wataalamu wa mazoezi. Please niongezee mawazo.
Niko kituo cha x cha afya (w) Rombo
Ulimlipia ada ya shule? Why such an effortKweli?
Kwamba kuandika huku una majonzi ndio sababu ya kukosea kosea maandishi?
Unashindwa kuandika "nauguza"?
Unashindwa kuandika "kuandika"?
Unashindwa kuandika "najikaza"?
Acha umbeya kikubwa umeelewa Uzi wa mleta mada mwenzako anauguliwa so yuko panic mode, jifunze kuacha mengine yakupite na kujaribu kuvaa viatu vya watu wengineKweli?
Kwamba kuandika huku una majonzi ndio sababu ya kukosea kosea maandishi?
Unashindwa kuandika "nauguza"?
Unashindwa kuandika "kuandika"?
Unashindwa kuandika "najikaza"?
Nenda kanye utawaze.Acha umbeya kikubwa umeelewa Uzi wa mleta mada mwenzako anauguliwa so yuko panic mode, jifunze kuacha mengine yakupite na kujaribu kuvaa viatu vya watu wengine
Ndio.Ulimlipia ada ya shule? Why such an effort
Kwanini usianze wewe, hujui hata umuhimu wa hii forum. Ningekuwa mods ungekula ban ili akili ikukae sawaNenda kanye utawaze.
EndeleaKwanini usianze wewe, hujui hata umuhimu wa hii forum. Ningekuwa mods ungekula ban ili akili ikukae sawa
Achana nae labda ana tatizo la kukosa nguvu za kiume nasikia huwa na hasira hovyo hovyo na kuropoka hata vitu ambavyo havijana haja.Kwanini usianze wewe, hujui hata umuhimu wa hii forum. Ningekuwa mods ungekula ban ili akili ikukae sawa
e hizi napiga lakini wanaozipokea nao wananishangaa kuulizia tibaAsanteni sana kwa maoni na ushauri wenyu, kwa kuweza kunipa moyo na kufurahi kuwa mwanafamilia wenu.....
STROKE TREATMENTS
1. Magic Detoxin pad....inafanya kazi zifuatazo katika mwili,
Pumps out toxins and wastes from a cupoints .
alleviates pains and strains skin, muscles and joints
2. Deep sea fish oil softjel.
inafanya kazi zifuatazo
. Lowers the amount of lipids (fats such as cholesterol and triglycerides ) circulating in the bloodstream.
. Reduces inflammation throughout the body.
. Decreases platelet aggregation, prevents excessive blood clotting.
. Inhibits thickening of the arteries, dilates and relaxes arteries.
3. Ginkgo biloba capsule
Inafanya kazi zifuatazo
4. Super CoQ 10.. Scavenges free radicals and counteracts age related damages organs and tissues.
. Increases oxygen supply to brain tissue thus enhance memory.
. Prevents age related macular degeneration.
. Prevents or releves symptoms of intermittent claudication.
inafanya kazi zifuatazo
. Improves metabolism of cells of body, especially myocardial cells and nerve cells.
. Improves immunity.
. Antioxidants which prevent and alleviate degenerative cardiovascular and cerebro vascular and diseases.
. Improves stamina and general well-being of human body.
HIZI DAWA UKIZIPATA, LAZIMA UPONE NA UTAPONA KABISA, NAWAKARIBISHA WOTE.
BEI ZA HIZO DAWA KAMA WENGI MULIVYO OMBA HIZI HAPA.
1. Magic detoxin pad ni, 61000/=.
2. Deep sea fish oil softgel ni, 83000/=.
3. Ginkgo bibola capsule, 70000/=.
4. Super CoQ 10 ni, 84000/=
Asanteni sana wapendwa, karibuni ili tuweke sawa afya zetu vizuri na kuweza kupambana na shughuli zetu za maisha......tunatibu maradhi mengi pia na yanaponyeka kabisa.
kwa mawasiliano zaidi piga namba hizi, 0654158574/0765353056/0684974811
KARIBUNI SANA: