bei znavary kuanzia tsha ngap?
Unajua kucheza na psychology ya mtu. The way unavyojibu nimependa kwa kweli ingekuwa mwengine angeanza kutoa majibu yasiyoridhisha kwa watu ni wachache sana wenye kuweza hilo.
Inamchukua muda gani mgonjwa kupona na kuondokewa na tatizo alilonalo mkuu ?.
Na pia kuna mdau amekuuliza gharama zake hugharimu kiasi gani, wengi huwa hawapendi kuweka gharama halisi sjui ni kwa nini, mi nadhani mtu kama ana shida na anahitaji tiba hata ukiweka gharama hapa kama kuja atakuja tu usiogope kuweka gharama hapa itakurahisishia hata kupata wateja kirahisi kwa kupata maelezo ya gharama juu ya tiba zenu napia inamsaidia asiyekuwa nacho kuweza kujipanga kabla ya kuja.
Tunajua umeweka mawasiliano ya namba za simu mwengine ataona uvivu kupiga simu ila ukiweka hapa utakuwa umewasaidia wengi kujua pia.
Safi sana. Nakutakia kila la heri mkuu
TheThreatTr
Asanteni sana kwa maoni na ushauri wenyu, kwa kuweza kunipa moyo na kufurahi kuwa mwanafamilia wenu.....
STROKE TREATMENTS
1. Magic Detoxin pad....inafanya kazi zifuatazo katika mwili,
> Pumps out toxins and wastes from a cupoints .
> alleviates pains and strains skin, muscles and joints
2. Deep sea fish oil softjel.
inafanya kazi zifuatazo
>. Lowers the amount of lipids (fats such as cholesterol and triglycerides ) circulating in the bloodstream.
>. Reduces inflammation throughout the body.
>. Decreases platelet aggregation, prevents excessive blood clotting.
>. Inhibits thickening of the arteries, dilates and relaxes arteries.
3. Ginkgo biloba capsule
Inafanya kazi zifuatazo
>. Scavenges free radicals and counteracts age related damages organs and tissues.
>. Increases oxygen supply to brain tissue thus enhance memory.
>. Prevents age related macular degeneration.
>. Prevents or releves symptoms of intermittent claudication.
4. Super CoQ 10.
inafanya kazi zifuatazo
>. Improves metabolism of cells of body, especially myocardial cells and nerve cells.
>. Improves immunity.
>. Antioxidants which prevent and alleviate degenerative cardiovascular and cerebro vascular and diseases.
>. Improves stamina and general well-being of human body.
HIZI DAWA UKIZIPATA, LAZIMA UPONE NA UTAPONA KABISA, NAWAKARIBISHA WOTE.
BEI ZA HIZO DAWA KAMA WENGI MULIVYO OMBA HIZI HAPA.
1. Magic detoxin pad ni, 61000/=.
2. Deep sea fish oil softgel ni, 83000/=.
3. Ginkgo bibola capsule, 70000/=.
4. Super CoQ 10 ni, 84000/=
Asanteni sana wapendwa, karibuni ili tuweke sawa afya zetu vizuri na kuweza kupambana na shughuli zetu za maisha......tunatibu maradhi mengi pia na yanaponyeka kabisa.
kwa mawasiliano zaidi piga namba hizi, 0654158574/0765353056/0684974811
KARIBUNI SANA: