Ugonjwa wa Kisukari

Ugonjwa wa Kisukari

Mavindozii

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2012
Posts
2,111
Reaction score
2,781
Ni kweli wagonjwa wa Kisukari ndio wanataabika kupindukia kuliko wagonjwa wengine na ndio hutangulia haraka au ni kutunyanyapa tuu .
 
nlisikia mahali wanasema km una kisukari basi
  • kaa mbali sana na misosi ya wanga
  • fanya mazoezi usibweteke
  • kaa mbali sana na chumvi na sukari
  • punguza uzito kama una uzito uliopitiliza
  • kaa mbali na matumizi yakupitiliza ya mafuta kwenye misosi
  • pata mbogamboga/matunda na vituvitu vya asili
  • pole sana
 
Tumia dawa za hospitali , acha wanga KABISAAAAAA, pombe etc kama unapumzi ya kukimbia fanya hilo zoezi..wiki mbili tu diabete type 2 imeondoka
 
Kaka mavindoz hebu mcheki DK Berg YouTube utapata suluhisho la tatizo lako. Hopefully English inapanda .
 
I hope hizo video links za YouTube zitakusaidi mkuu,kila la heri.
 
Tumia juice ya ubuyu... Asubuhi na jioni. Bilauri moja moja. Utakuja kunishukuru.
Unachemsha ubuyu kisha unachuja na kuhifadhi ktk jokofu.
 
Back
Top Bottom