Mavindozii
JF-Expert Member
- Oct 20, 2012
- 2,111
- 2,781
Ni kweli wagonjwa wa Kisukari ndio wanataabika kupindukia kuliko wagonjwa wengine na ndio hutangulia haraka au ni kutunyanyapa tuu .
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Una uliza swali?au unayo hayo maradhi ili upatekutibiwa maradhi yako? Mbona sijakuelewa hebu funguka zaidi.Ni kweli wagonjwa wa Kisukari ndio wanataabika kupindukia kuliko wagonjwa wengine na ndio hutangulia haraka au ni kutunyanyapa tuu .
Mkuu wewe unatibu kisukari mgonjwa akapona na kula vyakula bila masharti?Una uliza swali?au unayo hayo maradhi ili upatekutibiwa maradhi yako? Mbona sijakuelewa hebu funguka zaidi.
Ndio ninatibu Ugonjwa wa kisukari kwamuda wamiezi 3 na mgonjwa atakula chakula chochote pasipo na masharti.Mkuu wewe unatibu kisukari mgonjwa akapona na kula vyakula bila masharti?
Type 2 dawa yake ni kutokula vyakula vya sukari na kufanya mazoezi.Ndio mkuu Nina Kisukari type 2,bei ya dawa mkuu
FixNdio ninatibu Ugonjwa wa kisukari kwamuda wamiezi 3 na mgonjwa atakula chakula chochote pasipo na masharti.
Ketogenic diet ndo ikojeKisukari kinaweza kutibika kwa ketogenic diet.