mazimba john
Member
- Jan 20, 2012
- 6
- 1
Sipati picha li maza la miaka 50 limenuna, na wewe ze boc kwa mimama haaaa,umelipata ulilokuwa unatafuta hahahahaaa
binafsi kununa huwa sijui ila nitakasirika kidogo na mpenzi ananijulia nikikasirika aseme nn, nikicheka yameisha, cha muhimu
the boss, mwanamke wako akinuna, mtafutie kitu kinachomfurahisha, nakuhakikishia sidhani kama ataendelea, utasikia, huku kabana
pua" bathi mpendhi uthirudie tena" lol
ishu sio kujishusha
ishu mtu kanuna hujui kanuna kwa nini
na hataki kuzungumza
na huyo mtu sio mtoto mdogo
Ikiwa kususa na kununa ni ugonjwa basi wanaume wamezidi, wananunia na kususia hata wanaume wenzao, ushahidi kamili - Bungeni, Dodoma.
Boss,
Ukitaka kulea huu ugonjwa, ni pale akinuna ujifanye kumbembeleza. Utakoma nakwambia. Dawa yake akinunua mara moja unampotezea, akirudia siku nyingine, unampotezea. harudii tena nakwambia...
kwa kweli wanawake wengi tunatabia hiyo ya kununa kwa sababu ambazo si za msingi na mara nyingi huwa tunafanya hivyo kama kukomoa, au kwa matarajio ya kubembelezwa, na pia huwa ni dalili ya udhaifu, mtu anaudhiwa na kusema hawezi either mume ni mkorofi au haingiliki basi anaamua kununa tu kama njia ya kuonyesha au kueleza hisia zake n.k n.k. na tabia hii mara nyingi huwa nao couples ambao hawana mawasiliano ya kutoasha, hawawezi kuambiana ukweli, wanaogopana n.k. ila kwa wale ambao hawana mambo ya pembeni wako wazi kuambiana mambo yote mazuri au mabaya huwa hawana tabia hizi. LAKINI WANAUME jamaniii looh ndio usiseme. wakitaka kupata sababu ya kuondoka nyumbani bila kuaga, kuacha KULA nyumbani, kuweka distance n.k. huwa nao wanatabia kama hiyo, jambo dogo atalivalia njuga, atalipaka wanja na uturi alimradi tu linukie weee liwe kubwa apate justification ya kufanya mambo yake bila bughudha! achani hizo na nyie
Binafsi ukiniudhi siwezi ku shout wala kukupiga, na kusema pia nashindwa!Sasa nifanyeje ujue umeniboa?Nanuna!
Nikinuna halafu usiombe msamaha, nanuna tena! Ukinichunia nanuna tena!Ukiona nanuna kila siku ukawa unachelewa kurudi naendeleza kununa, hapo mwezi utafika. Ukutaka mpenzi wako asinune, ukiona hayuko sawa kuwa karibu nae sana ujue whats wrong. sometimes unaweza kumkwaza na usijue kuwa umemkwaza, ndo mana kwenye biblia wanamue mmeambiwa muishi kwa akili na wake zenu, muwapende kama Kristu alivyolipenda kanisa!KAZI MNAYO
Wanawake kununa ni kawaida yao....Mwanamke asiye nuna ana kuwa sio mtamu kuleeeeee.
wewee lol
Mtu kama huyo anayenuna,ukigundua kuwa haunakosa juu ya kununa kwake,usimuulize chochote kile hata kama ni miaka uone kama hajaanza kukuongelesha mwenyewe na kuanza kukuuliza mbona hutaki kujua nimekasirika nini,yaani ni sawasawa na mtoto akilia usimbembeleze mwache alie tuu uone kama hajanyamaza,alafu tunatakiwa kujali afya zetu,mtu akinuna anaidhuru afya yake mwenyewe,so kama wewe haikudhuru mwache anune mpaka apasuke ndoa sio taasisi ya kubembelezana bwana bali kupendana na kuheshimiana +kushirikiana,kama kuna linalokusibu mshirikishe mwenzako,sio kukunja uso tuu,nyumba ndogo wanazikaribisha wenyewe akina mama bila kujua!!!ishu sio kujishusha
ishu mtu kanuna hujui kanuna kwa nini
na hataki kuzungumza
na huyo mtu sio mtoto mdogo
Mtu kama huyo anayenuna,ukigundua kuwa haunakosa juu ya kununa kwake,usimuulize chochote kile hata kama ni miaka uone kama hajaanza kukuongelesha mwenyewe na kuanza kukuuliza mbona hutaki kujua nimekasirika nini,yaani ni sawasawa na mtoto akilia usimbembeleze mwache alie tuu uone kama hajanyamaza,alafu tunatakiwa kujali afya zetu,mtu akinuna anaidhuru afya yake mwenyewe,so kama wewe haikudhuru mwache anune mpaka apasuke ndoa sio taasisi ya kubembelezana bwana bali kupendana na kuheshimiana +kushirikiana,kama kuna linalokusibu mshirikishe mwenzako,sio kukunja uso tuu,nyumba ndogo wanazikaribisha wenyewe akina mama bila kujua!!!
mbona nishakuja kwako na wewe umeninunia? lol