Kama nimekosea kweli nwamwomba sana tu, na kubembeleza juu. Ila zile za kulazimishwa ndo hua sitoi.
niombe basi msamaha!
we mkali sana bana unaonekana,kha!Analo lipi? La kutokua mnafiki?
Kama ambavyo hua sipendi sifa za kupewa tu ilimradi ndivyo ambavyo sipendi kuombwa msamaha usioleweka unatoka wapi. Hu ndio.mwanzo wa mtu kurudia kosa kwasababu mara ya kwanza anakua hakujua lipi ni kosa na lipi sio kosa.
teh tehKununa si ndo vizuri inakupa muda mwingi wa kuangalia mipira baa? Inalipa sana ila sijapewa hiyo bahati
we mkali sana bana unaonekana,kha!
Kununa si ndo vizuri inakupa muda mwingi wa kuangalia mipira baa? Inalipa sana ila sijapewa hiyo bahati
we mkali sana bana unaonekana,kha!
Ningekuoa mimi dawa yako ningekuzalisha kila mwaka miaka mitano mfululizo,full busy hata muda wa kufuatilia mambo yangu usingeupata,by the time watoto wana come of age na wewe ushazeeka hata nguvu za kunrarua huna.
Ze banana man,upo mkuu?
Hahahahahaahah. . .we mkali sana bana unaonekana,kha!
Ningekuoa mimi dawa yako ningekuzalisha kila mwaka miaka mitano mfululizo,full busy hata muda wa kufuatilia mambo yangu usingeupata,by the time watoto wana come of age na wewe ushazeeka hata nguvu za kunrarua huna.
Na game unatoa kumshaulisha au kumnyamzisha kabisa, au sio lizzy?Kama nimekosea kweli nwamwomba sana tu, na kubembeleza juu.
Utabembeleza hata kwa mambo yasiyobembelezeka? Ukweli ni kuwa mkuu huko kununa wanatumia as a weapon kwako wewe mwanaume,so ni technique tu mzee,inabidi sometimes uwe mbunifu kutegua hilo bomu(gubu) kama wao wanavyotumia kitumbua chao(unyumba) kukunyamazisha pale anapojua amekuudhi au kalivurunda.
choka mbaya jana chicha mingi ndo naamka nakuta uzi wa The Boss wakati na mimi mama kayai full kununa jana nimerudi saa kumi alfajiri,namwambia nilikuwa nyumbani lounge kwa jd hata haelewi,hebu mPM my wife wangu mwambie atulize munkari.
Na game unatoa kumshaulisha au kumnyamzisha kabisa, au sio lizzy?
Mkishafikia kukomoana nadhani ni muda sahihi wa kupitia mahusiano yenu upya na kujiuliza kwanini mko pamoja.Boss,
Ukitaka kulea huu ugonjwa, ni pale akinuna ujifanye kumbembeleza. Utakoma nakwambia. Dawa yake akinunua mara moja unampotezea, akirudia siku nyingine, unampotezea. harudii tena nakwambia...
Hahahaha kwani nimekukosea? Au ndo unataka nikudatishe bure?
mbona nshadata kwako longtime?
...hakuna lisobembelezeka bro hebu nipe mfano lililo gumu, ...maneno matamu yanamtoa nyoka pangoni...
jitahidi tu.
halafu in real life unaweza ukute ka Lizzy ni kapooooooole,omwana enfura,wanasema wahaya.Hahahahahaahah. . .
Unadhani ingesaidia basi? Ndo kwanza ukali ungeongezeka kama mboga ya curry iliyoongezwa pilipili kichaa.