Ugonjwa wa kununa na kususa kwa wanawake...

Ugonjwa wa kununa na kususa kwa wanawake...

Analo lipi? La kutokua mnafiki?
Kama ambavyo hua sipendi sifa za kupewa tu ilimradi ndivyo ambavyo sipendi kuombwa msamaha usioleweka unatoka wapi. Hu ndio.mwanzo wa mtu kurudia kosa kwasababu mara ya kwanza anakua hakujua lipi ni kosa na lipi sio kosa.
we mkali sana bana unaonekana,kha!
Ningekuoa mimi dawa yako ningekuzalisha kila mwaka miaka mitano mfululizo,full busy hata muda wa kufuatilia mambo yangu usingeupata,by the time watoto wana come of age na wewe ushazeeka hata nguvu za kunrarua huna.
 
Mkuu huu mpango mkakati wako ni wa aina yake.
 
Ze banana man,upo mkuu?

choka mbaya jana chicha mingi ndo naamka nakuta uzi wa The Boss wakati na mimi mama kayai full kununa jana nimerudi saa kumi alfajiri,namwambia nilikuwa nyumbani lounge kwa jd hata haelewi,hebu mPM my wife wangu mwambie atulize munkari.
 
we mkali sana bana unaonekana,kha!
Ningekuoa mimi dawa yako ningekuzalisha kila mwaka miaka mitano mfululizo,full busy hata muda wa kufuatilia mambo yangu usingeupata,by the time watoto wana come of age na wewe ushazeeka hata nguvu za kunrarua huna.
Hahahahahaahah. . .

Unadhani ingesaidia basi? Ndo kwanza ukali ungeongezeka kama mboga ya curry iliyoongezwa pilipili kichaa.
 
Boss,
Ukitaka kulea huu ugonjwa, ni pale akinuna ujifanye kumbembeleza. Utakoma nakwambia. Dawa yake akinunua mara moja unampotezea, akirudia siku nyingine, unampotezea. harudii tena nakwambia...
 
Utabembeleza hata kwa mambo yasiyobembelezeka? Ukweli ni kuwa mkuu huko kununa wanatumia as a weapon kwako wewe mwanaume,so ni technique tu mzee,inabidi sometimes uwe mbunifu kutegua hilo bomu(gubu) kama wao wanavyotumia kitumbua chao(unyumba) kukunyamazisha pale anapojua amekuudhi au kalivurunda.

...hakuna lisobembelezeka bro hebu nipe mfano lililo gumu, ...maneno matamu yanamtoa nyoka pangoni...
jitahidi tu.
 
choka mbaya jana chicha mingi ndo naamka nakuta uzi wa The Boss wakati na mimi mama kayai full kununa jana nimerudi saa kumi alfajiri,namwambia nilikuwa nyumbani lounge kwa jd hata haelewi,hebu mPM my wife wangu mwambie atulize munkari.

Umefanya mistake,ulitakiwa na wewe umbebee kileo akichape vema usiku huo akiamka asubuhi anakuwa amesahau maana wote mnakuwa na hangover.hapo sasa kila mtu atakuwa anawaza kuzimua au kupata supu.
 
Boss,
Ukitaka kulea huu ugonjwa, ni pale akinuna ujifanye kumbembeleza. Utakoma nakwambia. Dawa yake akinunua mara moja unampotezea, akirudia siku nyingine, unampotezea. harudii tena nakwambia...
Mkishafikia kukomoana nadhani ni muda sahihi wa kupitia mahusiano yenu upya na kujiuliza kwanini mko pamoja.
 
...hakuna lisobembelezeka bro hebu nipe mfano lililo gumu, ...maneno matamu yanamtoa nyoka pangoni...
jitahidi tu.

Mbu kuna kununa kawaida na kuna kununa tabia, huyu ambaye siye kawaida yake unaweza kubembeleza,ila huyu wa tabia inabidi uwe makini sana, maana mwingine atakufanya poyoyo,atatumia kununa kama silaha ya kukufanya wewe uwe humble kwake na akikustukia u mwepezi wa kuwa hambled atatumia mwanya huo kuadmit matakwa yake. Kwa wanandoa wanalifahamu sana hili. hapo ndio huwa inahitajika misimamo kwa mambo mengine hata mwanamke anune vipi.
 
Hahahahahaahah. . .

Unadhani ingesaidia basi? Ndo kwanza ukali ungeongezeka kama mboga ya curry iliyoongezwa pilipili kichaa.
halafu in real life unaweza ukute ka Lizzy ni kapooooooole,omwana enfura,wanasema wahaya.
 
Back
Top Bottom