Ugonjwa wa kununa na kususa kwa wanawake...

umekulia tanga weye?
 

...aaahhh, sasa kama kununa ni tabia yake na ulimkubali na 'mbwembwe' zake hizo, ulitegemea ukishamuoa atabadilika?

Mtu wa namna hiyo ukishajikubalisha huo 'wazimu' wake,...mwache anune mpaka siku "wa kwao" wakishamtoka kichwani maisha yaendelea.

Haya ya kujikubalisha furaha/huzuni yako ya siku itawaliwe na mood ya mwenza wako ni kujitafutia stress bure.
Ignore him/her bana, you are The Supreme Commander of your own happiness.
 

umenena mkuu,vijitabia vingine unakuja kuvijua ndani mkiwa mnaishi pamoja.ni kupotezea tu.pamoja mwana
 
Wanawake wa hivyo ni wale wanaopenda kukaa na vinyongo rohoni. Ni watu ambao hawana ujasiri wa kuongea wanapokwazika. Halafu huwa hawanunii wapenzi wao tu, unaweza ukakuta hadi marafiki wananuniwa. Tabu sana kuishi na mtu wa hivyo.
wewe huwa humnunii TF?
 
Lizzy,mi nalog off,ngoja niende kaunta nikaangalie gemu la manU vs Aseno,nitakumiss lakini,bye for now,mmmmmmwwwwwwaaaaaaa!!!!!
 
Nduu,mi mtaalam,i have perfected the art of cheating,nikupe tuition?

Unataka unipe tution? kama unatumia pc hebu soma hiyo siganature yangu hapo chini. Mkuu hiyo kitu ni noumaaaaa! Hujasoma uzi humu umeletwa na rutashubanyuma wa dereva wa bodaboda? I know cheating and i did it before na najua consequences zake. Hunirudishi huko mkuu. Mi ni mwana israeli sasa mkuu siwezi tena kurudi misri,labda mi ndo nikupe tution ya kuachana na hayo mambo.
 
ila tabia hii sio nzuri dada zangu mnaboaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa:eyebrows:
 

Ukiona nvyo, anza wewe kuvunja ukimya, zungumza nae muulize kulikoni. Utakapomkalia kooni kumuuliza uliza kila saa atafungukatu.
Km ni jambo serious lijadilini, km ni la kijinga basi jifanye mjinga mbusu, mwambie samahani, then maisha yanaendelea.
Upande wangu mm kweli huwa nakasirikaga kabisa, lakini siwezi kunyamaza hata kidogo, nilakueleza, nitakununia,then nitakkaa mbali nawe hadi hasira zangu ziishe. Ila siwezi kukununia bila kukupa live kolichonifanya ninune.
Kwani Boss, wifi kakaununia? Pole mwaya kama ndivyo.
 
kununa kuna raha yake. . Kama kuna mbembelezaji mzuri. . .

Kama mume kauzu ukinuna unaweza kubasti mwenzio walaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…