Habari zenu jameni,
Naomba kuuliza , hivi kuna ugonjwa wa ngozi ambao mtoto anaweza kupata
ukamfanya anaamka asubuhi sehemu za nywele kichwani zimenyonyoka?
Nakumbuka enzi za utoto nikienda kumtembelea bibi sometimes unaamka
asubuhi sehemu fulani ya kichwa haina nywele. Je ni Mapunye ama?