Maundumula
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 7,553
- 3,081
Habari zenu jameni,
Naomba kuuliza , hivi kuna ugonjwa wa ngozi ambao mtoto anaweza kupata ukamfanya anaamka asubuhi sehemu za nywele kichwani zimenyonyoka? Nakumbuka enzi za utoto nikienda kumtembelea bibi sometimes unaamka asubuhi sehemu fulani ya kichwa haina nywele. Je ni Mapunye ama?