Ugonjwa wa Masundosundo mwilini na sehemu za siri (Genital & Skin Warts)

Dawa peke ni kufanyiwa upasuaji tu. Kuna mdogo wangu alipata akafanyiwa hivyo wanatumia moto wa gesi kuviunguza/kukata na hadi leo vishapona
 
Nimesoma comments zote 143 nimejifunza kitu acha nikifanyie kazi nitarudi nikipata majibu.Namshukuru mtoa mada lakini pia wachangiaji wote mmeonyesha uzalendo wa hali ya juu sana hakukuwa na mizaha kama tulivyozoea kwenye mambo ya msingi.Mungu awabariki sana.
Hakuna wa kunitoa JF.Labda kifo tu.
 
Wataalamu , mm ninasumbuliwa sana na hii shida ya genital warts.

Nimesoma uzi humu ukishauri kupaka kitunguu saumu.
Loohh
Kimeleta balaa kubwa maana kimefanya kama kuunguza na kuniachia vidonda.

Naomba wataalamu mje na wale ambao wamewahi kupitia hali hii...walitumia nn wakapona hili tatizo.. Asanteni
 
Nenda hospitali mkuu wangu, now days vitu vidogo vikipuuzwa huleta madhara makubwa ikiwemo kifo.
 
habari ndugu vip tayari umeshapata tiba ya huo ugonjwa hata mimi mpaka sasaiv bado nasumbuliwa na huo ugonjwa tena kwenye ulimi kuna warts wamejitokeza hasa mwisho wa ulimi karibia na koo mpaka sasa bado sijapata tiba ya huu ugonjwsabbu

hata mimi nasumbuliwa sana tena warts sehemu ya ulimi karibia na koo nahangaika kupata tiba kama umepata tiba naomba na mimi nielekez
 
Umesoma nilichoandika mimi hapo juu ?
Fuata hayo utapona na hizo ni dawa za asili .

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
 
Kuna mahikaji wangu alikuwa na hilo tatizo kaenda hospital wakamuandikia podosal ointment, mult vitamin na ampiclox na paracetamol na amepona ....
 
Mkuu vipi??viliisha?

Sent from my SM-M115F using JamiiForums mobile app
 
Wengi pia vinawatokea usoni hivi kwanini
 
Haya yote yanatokea kwasababu kuna wapumbavu wachache wakiambiwa watulize matako yao waachane na ngono zembe wanaona kama wanaambiwa waache kupumua mbwa hawa...... Ngono zembe na uzinifu ni hatari jamani..... Tulia na mtu m'moja ukishindwa basi hata ujilipue ili kuokoa wengine....
 
Dah.... Apo kuna mademu umeshakulana nao denda au ulikuwa unaingia chumvini bwana mdogo..... Mbona tutakoma jamani......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…