Loudspeaker
Member
- Feb 8, 2021
- 88
- 107
hiyo detol una itumiaje mkuu
Ogea detol,,,meza na acyclovir dozi ya siku kumi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hiyo detol una itumiaje mkuu
Kansa ya koo mambo ya kwenda uvinza hayohabari ndugu vip tayari umeshapata tiba ya huo ugonjwa hata mimi mpaka sasaiv bado nasumbuliwa na huo ugonjwa tena kwenye ulimi kuna warts wamejitokeza hasa mwisho wa ulimi karibia na koo mpaka sasa bado sijapata tiba ya huu ugonjwsabbu
hata mimi nasumbuliwa sana tena warts sehemu ya ulimi karibia na koo nahangaika kupata tiba kama umepata tiba naomba na mimi nielekez
Matumizi ya dettolDettol inafanya kazi vizuri sana nimepata warts nikatumia dawa za kunywa (alcovir), za kupaka(alcovir+ beta derm) mpaka sindano havikupungua hata kidogo.
Nimeuona huu Uzi 22 Novemba, tarehe 23 nikanunua Dettol na kuanza kuitumia mpaka sasa nimeona mabadiliko makubwa
Kuna utitiri wa warts ulianza kutokea umeshakauka
Vile vikubwa vimepungua sana na vina kauka naamini baada ya muda vitaisha kabisa
Samahani naomba kujua kama ushapona na ulitumia dawa ganihabari ndugu vip tayari umeshapata tiba ya huo ugonjwa hata mimi mpaka sasaiv bado nasumbuliwa na huo ugonjwa tena kwenye ulimi kuna warts wamejitokeza hasa mwisho wa ulimi karibia na koo mpaka sasa bado sijapata tiba ya huu ugonjwsabbu
hata mimi nasumbuliwa sana tena warts sehemu ya ulimi karibia na koo nahangaika kupata tiba kama umepata tiba naomba na mimi nielekez
Vipi umepona mkuuhabari ndugu vip tayari umeshapata tiba ya huo ugonjwa hata mimi mpaka sasaiv bado nasumbuliwa na huo ugonjwa tena kwenye ulimi kuna warts wamejitokeza hasa mwisho wa ulimi karibia na koo mpaka sasa bado sijapata tiba ya huu ugonjwsabbu
hata mimi nasumbuliwa sana tena warts sehemu ya ulimi karibia na koo nahangaika kupata tiba kama umepata tiba naomba na mimi nielekez
Mkuu unamaanisha kuwa natumia Acyclonavir cream pamoja na vidonge vyake sio ?Tumia Acyclonavir both cream na vidonge dose ya siku 5 nichek DM.
Kiukweli nimeliza dozi lakini cjapata nafuu kabisaaMkuu unamaanisha kuwa natumia Acyclonavir cream pamoja na vidonge vyake sio ?
Mkuu ii dettol ni ile ya maji ya kichupa au ile ya kipande sabuni?asee nimepona kabisa kilichonisaidia mimi ni detol ya kuogea sabuni zile dawa zilizingua tu
Dettol ipi ile ya maji ya kichupa au ile ya sabuni kipandeDettol inafanya kazi vizuri sana nimepata warts nikatumia dawa za kunywa (alcovir), za kupaka(alcovir+ beta derm) mpaka sindano havikupungua hata kidogo.
Nimeuona huu Uzi 22 Novemba, tarehe 23 nikanunua Dettol na kuanza kuitumia mpaka sasa nimeona mabadiliko makubwa
Kuna utitiri wa warts ulianza kutokea umeshakauka
Vile vikubwa vimepungua sana na vina kauka naamini baada ya muda vitaisha kabisa
Vp kama ni sehem ya inye..SI wanasema usioshee sabuni?Dettol inafanya kazi vizuri sana nimepata warts nikatumia dawa za kunywa (alcovir), za kupaka(alcovir+ beta derm) mpaka sindano havikupungua hata kidogo.
Nimeuona huu Uzi 22 Novemba, tarehe 23 nikanunua Dettol na kuanza kuitumia mpaka sasa nimeona mabadiliko makubwa
Kuna utitiri wa warts ulianza kutokea umeshakauka
Vile vikubwa vimepungua sana na vina kauka naamini baada ya muda vitaisha kabisa
Nna mdogo wangu amepata kama hiyo ya Mkononi Mkuu. dawa gani anaweza kutumia kwa sasa?Masundosundo ni ugonjwa gani?
Masundosundo ni ugonjwa wa ngozi unaosababisha uoto mgumu kwenye ngozi wenye umbo mithili ya mboga iitwayo koliflawa (cauliflower). Ugonjwa huu husababishwa na kirusi kiitwacho HPV-Human Papilloma Virus.
![]()
Nini husababisha masundosundo kwenye ngozi?
Chanzo cha ugonjwa huu ni kirusi kiitwacho HPV-Human Papilloma Virus. Kuna aina zaidi ya 100 ya kirusi HPV, aina nyingi ya HPV huwa na madhara madogo kwa binadamu. Baadhi ya aina za kirusi hichi huweza kusababisha kansa mfano kansa ya shingo ya kizazi kwa wanawake.(type 6,11,16,18)
Kirusi hichi humwingia mwanadamu kupitia sehemu za ngozi zenye mikato (broken skin).
Aina za masundosundo:
Kuna aina nyingi za ugonjwa huu ila kwa urahisi tunaweza kuzigawanya katika aina mbili kuu; masundosundo ya ngozi(skin warts) na masundosundo ya sehemu za siri(genital warts).
Masundosundo ya ngozi huwa na dalili kwenye ngozi ya kawaida na masundosundo ya sehemu za siri huambatana na uoto sehemu za siri.
![]()
Tiba ya misundosundo:
Ukiachana na mwonekano wa ngozi, ugonjwa wa misundosundo hauna madhara kwa binadamu. Baadhi ya aina ya kirusi HPV husababisha kansa ila uoto wa misundosundo hauna madhara.
Tiba yake ni kuondoa uoto huu kwa njia mbalimbali. Dawa aina ya Salicylic acid husaidia kuondoa masundosundo kwenye ngozi. Pia tiba ya cryotherapy ambayo uoto wa masundosundo hugandishwa kwa gesi yenye joto dogo.
Kinga ya misundosundo:
Chanjo ya kirusi HPV itwayo Gardasil imetengenezwa kwa ajiri ya kinga ya kansa isababishwayo na baadhi ya aina ya kirusi HPV.
Pia ethanol 90% husaidia kupunguza maambukizi ya kirusi HPV kwenye ngozi.
Dr Luhaja Nginila,MD