Ugonjwa wa Masundosundo mwilini na sehemu za siri (Genital & Skin Warts)

Kansa ya koo mambo ya kwenda uvinza hayo
 
Dettol inafanya kazi vizuri sana nimepata warts nikatumia dawa za kunywa (alcovir), za kupaka(alcovir+ beta derm) mpaka sindano havikupungua hata kidogo.

Nimeuona huu Uzi 22 Novemba, tarehe 23 nikanunua Dettol na kuanza kuitumia mpaka sasa nimeona mabadiliko makubwa

Kuna utitiri wa warts ulianza kutokea umeshakauka

Vile vikubwa vimepungua sana na vina kauka naamini baada ya muda vitaisha kabisa
 
Matumizi ya dettol

Sent from my SM-G955F using JamiiForums mobile app
 
Samahani naomba kujua kama ushapona na ulitumia dawa gani
 
Vipi umepona mkuu
 
Wakuuu habari zenu mimi binafsi sana nimetumia dawa lakini mpaka sasa bado zipo msaada tafadhali.
 
Dettol ipi ile ya maji ya kichupa au ile ya sabuni kipande
 
Vp kama ni sehem ya inye..SI wanasema usioshee sabuni?
 
Nna mdogo wangu amepata kama hiyo ya Mkononi Mkuu. dawa gani anaweza kutumia kwa sasa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…