Ugonjwa wa miguu kuuma

Ugonjwa wa miguu kuuma

WENYELE

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2012
Posts
1,433
Reaction score
1,442
Wakuu.

Kuna kijana anaumwa miguu yaani visigino vinauma sana yaani zinawaka moto hadi kutembea anatumia vidole.
Je chanzo ni nini na tiba yake ni ipi?

Asante
 
kuumwa miguu baada ya kupona iliyokuwa imevunjika

dawa yake ni nini?
 
Hiyo tatizo itakuwa ni peripheral neuropath hutokea pale nervous system inapokuwa affected na huwa huwatokea sana wazee na ambao immunity ipo compromised ila mshauri aende hospitalini apate msaada
 
Wakuu
Kuna kijana anaumwa miguu yaani visigino vinauma sana yaani zinawaka moto hadi kutembea anatumia vidole.
Je chanzo ni nini na tiba yake ni ipi?
Asante
kuwaka moto visigino inawezekana kuna tatizo lingine analo sijui Kama choo anapata
 
kuwaka moto visigino inawezekana kuna tatizo lingine analo sijui Kama choo anapata
Sijamwuliza,anatembelea vidole kwa sasa visigino hawezi kabisa.Tatizo lingine ni nini mkuu?
 
Back
Top Bottom