Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kuwaka moto visigino inawezekana kuna tatizo lingine analo sijui Kama choo anapataWakuu
Kuna kijana anaumwa miguu yaani visigino vinauma sana yaani zinawaka moto hadi kutembea anatumia vidole.
Je chanzo ni nini na tiba yake ni ipi?
Asante