Control yake? Maana ugonjwa huu ukiuona shambani tiba yake ni kuondoa kabisa miche iliyo athirika
Ndio....inatembea kwa kuambukiza. Mmea unatakiwa kutolewa unapoona dalili hzoNi wa kuambukiza mmea had mmea?@Africa Tanzania
Huuu ugonjwa umenirudisha nyuma Sana hata sitaki kusikiaWadau, naombeni kuuliza ugonjwa wa mnyauko wa majani ya viazi mviringo unasababishwa na nini na tiba gan iinahitajika?
View attachment 2565861